Wanawake wa Dar

Wanawake wa Dar

Wana wake wa darisalama wajanja wanja sana ujue ukienda ovyo wana kukomba vijisenti vyako vyote utarudi na buku na miambili tyuu!!!
 
Nipo mkoani natafuta maisha, ila nina ndoto ya kuishi DSM siku moja. Kama noma na iwe noma.
 
Yangu chaji tu

0a6131aa43b523b7e9fc3bd09d4d517f.gif
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom