[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]Najiuliza walichopigania walikipata?
Wewe una akili kweli?hawa walikuwa wahalifu enzi za mkoloni.View attachment 389381
mkuu wakati wa ukoloni kulikuwa na sheria, mfano kodi ya kichwa au uzururaji. waliozivunja walikuwa wahalifu nawalifanyishwa kazi za lazima. hiyo minyororo ni kuzuia wasikimbie. sheria kandamizi hadi leo zipo. wakoloni siyo waovu sana na serikali za weusi hazina wema sana.Wewe una akili kweli?
Unawaona mama zetu wamefungwa minyororo na watu wa kuj halafu unawaita wahalifu?
Tena nchini kwetu?
Kweli mna ukoko wa kununuliwa kiakili!
wamekipata mkuu (uhuru) sasa hivi wanautumia kwa vigodoro,vyura,kujichubua na kuongeza makalio na hips bila kusahau kulisha watu limbwataNajiuliza walichopigania walikipata?
Ndio mkuu ndio maana leo tupo huru!Najiuliza walichopigania walikipata?
Mtoa mada na wengine wana uchu wa kumilikiwaNdio mkuu ndio maana leo tupo huru!
Huyu wa kwanza ndio mama yake busta rymeshawa walikuwa wahalifu enzi za mkoloni.View attachment 389381