Wanawake wa Dar na mapenzi according to money level

Sasa hayo yote umeyajulia wap? au ndo tuko wangapi inahusika?
 
Inakuwaje kwale wenye wapenzi lakini haombwi pesa?
 
point..................hasa kwa nyakati hizi....................
 
hii inaonesha wanawake wamekata tammaa, nguvu pekee waliobaki nayo ni mwili wao. mademu njaa sana. kichwani sifuri. hawana aibu hata kidogo...ombaomba sana.
 
hahaahahah kwanza hii avatar yako nzuri sana......haya back to topic...wewe gfriend wako anakuitaje? (sorry kama umeshaoa)....

Nimejitahidi,now angalau naitwa baby..
Kuhusu kuoa baado navuta mda!
 

Wizi mtupu?
 
ukiona huombwi pesa na mpenzio basi fahamu kuwa unaibiwa mchana kweupee
Sasa kwa nini wanaume wanalala mika kwamba mabinti wa siku hizi wanapenda chapaa, kama hili swala limeshaonekana ni la lazima.
Me kuna mwanachuo niko nae katika mahusiano kwake swala la kuniomba pesa ni ngumu sana, alisha niambia hato niomba pesa kamwe sio kwa sababu sina au ni bahiri hapa.
Pesa ya matumizi na kadharika ipo nahata yeye anajua kabisa kwamba na piga pesa katika mishe zangu, anachokidai anategemea wazazi wake na ndugu zake haitajia kunipa mzigo mimi.
Hata huyu pia utasema ni mwizi wa mchana?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…