Wanawake wa Dar na kope bandia hatarini

Chukua LIKE nyingi. Wao ndo wanafanya wanawake wajichubue, wabandike kope, waweke mat.ko, matiti nk...na wale walio natural wanawaona washamba...
Kabisa yan yote yanayofanywa na wanawake ili kuonekana warembo wanalenga kuonwa/ wapendw na wanaume na wala hawafany kwa ajili yao wenyew au wanawak wenzao.Wanatafuta soko wenzenu
 
Duuh! Pole yao! Mi ata kupaka mascara inanipa shida sa hizo kope bandia macho si ndo yatagoma kufunguka!
 
Bora nibaki kuwa mshamba tu jamani, hayo mambo ya kuji-arificial mi siyawezi. Na km ni fashion acha tu inipite.
 
Wanaweka mboni wanakua kama mazombie
Mimi niliwasilisha tafiti hapa. Wanawake warembo barani afrika na sisi ni no, 9. Mlikataa. Wanawake wetu hapa kila kitu bandia. Shida kubwa ya hawa watu wanafikiri kujiremba sana tena kwa vitu bandia wataonekana warembo. Ndio maana wanapenda kuomba sana pesa ili wajirembe tu basi. Badala ya kujishughulisha na utafutaji wa pesa ili kipato kikuwe.
 
Hapa kila mwanamke haweki kope bandia. Jf ina kila aina ya binadamu asee..
 
Chukua LIKE nyingi. Wao ndo wanafanya wanawake wajichubue, wabandike kope, waweke mat.ko, matiti nk...na wale walio natural wanawaona washamba...
Hao wanawake wameshikiwa akili? Unajua kuna vitu vingine ni ujinga kumlaumu binadamu mwenzako.
 
Wanawake wengi hawajikubali walivyo..Sasa mtu unaanzaje kununua kope uziegeshe kwenye macho. Kwani kope zako zimetoka?? Wanaume wanapenda mwanamke natural sasa akikutana na huyo wa kujichubua na kujipiga kope bandia atambandua na kukimbia zake tu.
Dada zangu mjikubali mlivyo mana hivyo ndo Mungu alivyowaumba.
Ukikutana na mwanamke anajipodoa sana ujue huyo ni mmoja wa manungayembe yanayohangaika, wanawake wanaojikubali na kutunza uhalisia wao wanaolewa, na wakileta huo ujinga kwenye ndoa ndo hao wanaitwa single mother.
 
Wanawake wengi hawajikubali walivyo..Sasa mtu unaanzaje kununua kope uziegeshe kwenye macho. Kwani kope zako zimetoka?? Wanaume wanapenda mwanamke natural sasa akikutana na huyo wa kujichubua na kujipiga kope bandia atambandua na kukimbia zake tu.
Dada zangu mjikubali mlivyo mana hivyo ndo Mungu alivyowaumba.
sio siri mi hua najisikia kichefu chefu kupita maelezo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom