Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,250
- 2,870
hapa kwenyewe kuandika hii commet.. pesa!ngoja nianze kufanya uchanganuzi wa mambo okey bf unanitongoza nipo dar oke
sasa mnataka tuone nini kwenu zaidi ya pesa? embu muwage genuine tu kuto tuoa ni woga wenu tu hamna lolote.. hao wa mikoani wenyewe wanaangalia pesa sema tu wanawazuga
- -maji ya kunawa pesa
- maji ya kunywa pesa
- maji ya kuoga pesa
- nikiwa nje ya home kujisaidia pesa
- kulala ndani nahitaji pesa
- kutoka sehemu moja hadi nyingine pesa
- kula kuanzia mboga za majani mpaka nyama pesa
- kupiga simu pesa
- umeme pesa
- kupaki gari pesa
- kutupa taka pesa
- kuangalia tv pesa .
Wanaume wabahili huwa hawakosi cha kuzungumza [emoji57][emoji57][emoji57]Labda ndio maana wengi wenu hamuolewi.Yaani wengi wenu mkiona mwanaume anahesabu pesa vimacho vyenu vinakuwa juujuu kama mdoli!hatukatai wote tunapenda pesa ila nyie mmezidi hadi kero.....sijui mliona nini humo...hamtaolewa ng'o,jifunzeni kwa wenzenu wa mikoani.
kabisa sasa wanataka tupende nini jamani?hapa kwenyewe kuandika hii commet.. pesa!
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Mkuu naimani leo unataka kufua maana watakuja na povu la aerial
Mpende dusheekabisa sasa wanataka tupende nini jamani?
dushe litalipa bili zote nilizotaja?Mpende dushee
Sasa nyie zakwenu mnapeleka wapi au nikukosa kazi ndo kunawafanya muwe hivyongoja nianze kufanya uchanganuzi wa mambo okey bf unanitongoza nipo dar oke
sasa mnataka tuone nini kwenu zaidi ya pesa? embu muwage genuine tu kuto tuoa ni woga wenu tu hamna lolote.. hao wa mikoani wenyewe wanaangalia pesa sema tu wanawazuga
- -maji ya kunawa pesa
- maji ya kunywa pesa
- maji ya kuoga pesa
- nikiwa nje ya home kujisaidia pesa
- kulala ndani nahitaji pesa
- kutoka sehemu moja hadi nyingine pesa
- kula kuanzia mboga za majani mpaka nyama pesa
- kupiga simu pesa
- umeme pesa
- kupaki gari pesa
- kutupa taka pesa
- kuangalia tv pesa .
zenu tamuSasa nyie zakwenu mnapeleka wapi au nikukosa kazi ndo kunawafanya muwe hivyo