Wanawake wa CHADEMA Geita wakisherehekea Siku ya Wanawake

Maisha magumu watu wanang'ang'ana nz flyover za dar. Mara ntasomesha watoto mia hiyo haisaidii. Boresha maisha ya watu wore kilsmtu asomeshe mwenyewe shwain.
Chadema wawe wanatoa ahadi zao mapema uchaguzi ushawadia wasisahau
_ kupandisha mishahara na madaraja watumishi
_kuunda kitengo maalumu chakutafuta solo la mazao mbalimbali nje ya nchi ikishirikisha mabalozi.
_kufuta madeni yooote ya mikopo ya elimu ya juu (heslb).
_kuhakikishia wanafunzi wetu chakula wawapo shuleni.
_kuilinda na kuiboresha haki amani na demokrasia na kuzuia unyanyasaji na mauaji popote Tanzania. Nk. no.
Mashinji aamke nakuanza kunadi sera
 
Jana WANAWAKE WA GEITA baada ya kusherekea sikuku yao. Hapo ni karibu na kwa Muheshimiwa Jiwe

Check out @UpendoPeneza’s Tweet:

SWISSME

Nyumbani kwa mtukufu hali ndioiko hivi, je sehemu sehemu zingine ambazo hakuna hata harufu ya mtukufu CCM si inafukiwa kabisa.
 
Nyumbani kwa mtukufu hali ndioiko hivi, je sehemu sehemu zingine ambazo hakuna hata harufu ya mtukufu CCM si inafukiwa kabisa.
Tetetete tetetetet Tetetete jiwe atakuteka

SWISSME
 
Nani kakwambia kuna mtu anataka kuua Upinzani..!?? Au una negative attitude yako tu..!! Upinzani uko kikatiba, sasa sijui unapata wapi hayo mawazo..!!
wewe bila shaka utakuwa mchawi , ni nini hukijui kuhusu magufuli kuuwa upinzani ?
 
Nani kakwambia kuna mtu anataka kuua Upinzani..!?? Au una negative attitude yako tu..!! Upinzani uko kikatiba, sasa sijui unapata wapi hayo mawazo..!!
ACHA UFIRAUNI WEWE MPUMBAVU INAMAANA HUONI YANAYOTENDEKA AU WEWE NI JIWE UMEJIFICHA HUMU PUMBAV ZAKO
 
hahahaha haki nimecheka kweli bandugu,,,hivi kuna mtu anawaza kuua upinzani nchi hii kweli??? kweli kabisa!!!! hebu fikiria unaweza kuua watu wote hao???

anayefikiria kuwa anaweza kuua upinzani huyo atakuwa kichaa
 
Nani kakwambia kuna mtu anataka kuua Upinzani..!?? Au una negative attitude yako tu..!! Upinzani uko kikatiba, sasa sijui unapata wapi hayo mawazo..!!
Jiwe ndiye aliyeahidi kuua upinzani.
 
Back
Top Bottom