Wanawake wa CHADEMA Geita wakisherehekea Siku ya Wanawake

Jana WANAWAKE WA GEITA baada ya kusherekea sikuku yao. Hapo ni karibu na kwa Muheshimiwa Jiwe

Check out @UpendoPeneza’s Tweet:

Check out @UpendoPeneza’s Tweet:

SWISSME

DC na OCD wa Geita wajiandae kuandika barua ya maelezo
 
Maisha magumu watu wanang'ang'ana nz flyover za dar. Mara ntasomesha watoto mia hiyo haisaidii. Boresha maisha ya watu wore kilsmtu asomeshe mwenyewe shwain.
Chadema wawe wanatoa ahadi zao mapema uchaguzi ushawadia wasisahau
_ kupandisha mishahara na madaraja watumishi
_kuunda kitengo maalumu chakutafuta solo la mazao mbalimbali nje ya nchi ikishirikisha mabalozi.
_kufuta madeni yooote ya mikopo ya elimu ya juu (heslb).
_kuhakikishia wanafunzi wetu chakula wawapo shuleni.
_kuilinda na kuiboresha haki amani na demokrasia na kuzuia unyanyasaji na mauaji popote Tanzania. Nk. no.
Mashinji aamke nakuanza kunadi sera
Ajenda nzuri sana hizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha magumu watu wanang'ang'ana nz flyover za dar. Mara ntasomesha watoto mia hiyo haisaidii. Boresha maisha ya watu wore kilsmtu asomeshe mwenyewe shwain.
Chadema wawe wanatoa ahadi zao mapema uchaguzi ushawadia wasisahau
_ kupandisha mishahara na madaraja watumishi
_kuunda kitengo maalumu chakutafuta solo la mazao mbalimbali nje ya nchi ikishirikisha mabalozi.
_kufuta madeni yooote ya mikopo ya elimu ya juu (heslb).
_kuhakikishia wanafunzi wetu chakula wawapo shuleni.
_kuilinda na kuiboresha haki amani na demokrasia na kuzuia unyanyasaji na mauaji popote Tanzania. Nk. no.
Mashinji aamke nakuanza kunadi sera

Wapinzani kwa kweli wana udhaifu mkubwa japo sio kama CCM.
Hata hivyo kuna tatizo kwa watanzania wengi .
Watanzania wengi ni watu wabinafsi sana.
Hata wapinzani hilo lipo.
Mfano: Vyama vyote vina wenyeviti wasio na mwisho au ukomo wa uongozi isipokua CCM tena ni baada ya Kuukwa uraisi na kuhakikisha anakaa madarakani kwa miaka kumi na kuondoa neno umaskini kwenye Kizazi chake na wajukuu na vitukuu.Hapo anakubali kuitwa Mwenyekiti mstaafu mwenye madaraka na kura ya veto ndani ya Chama.
Kwa hiyo kila mmoja anawaza kutumia Chama kwa ajili ya kujinufaisha Kimaslahi ndio maana hawawezi kukubali kushindanishwa kwa hoja kwenye Chama.

Ni kweli kuwa CCM wana mchakato mzuri sana wa kumpata mgombea wa Urais kuliko vyama vingine.
Vyama vingine bado havina mfumo mzuri wa kuwashindanisha wagombea na kiwekeana mapingamizi na hata kupigana vijembe kwa ajili ya kujenga demokrasia ya kweli.
Mtu kama Mbowe ni Dikteta kama wenzake na anaona fahari kukaa madarakani bila kuweka mazingira mazuri ya kupata viongozi kwa woga wa kuingia mamluki ,unaweza ukamuogopa mamluki mmoja lakini ukashindwa kusonga mbele kwa sababu ya woga.
Mtu mpaka anagombea nafasi ya uenyekiti ni lazima awe anajulikana tangu utotoni. Mtu anaweza akawa na marafiki ndani ya CCM laki haipendi CCM kama alivyokuwa Zito Kabwe.
Kuna mtu hana marafiki wengi ndani ya CCM kama alivyo Lipumba lakini anaipenda CCM na kuisaidia kwa sababu ya ubinafsi .

Ukweli ni kwamba wapinzani kuna mambo mengi sana wanayaongelea kimisingi ya Vyama na siasa bila kuzungumzia maisha ya watu.
Mfano Kila unapowaona kwenye majukwaa wamekua wakiwatukana Watumishi kama Wale wa vyombo vya Dola bila kuchunguza na kubaini Changamoto ndani ya vyombo hivyo na kuwapa matumaini kuwa endapo wataingia madarakani watazitatua na kuwaboreshea maisha.
Hata time ya uchaguzi wale ni watu na wanapenda kuwa huru lakini wanapoona wapinzani wanawatisha kuwa wataifumua fumua na kuwashitaki mahakamani basi nao wanaogopa na kuona ni bora CCM wanaopora matokeo lakini wanajali maslahi ya japo ni kuwabeba kimadaraka.

Huwezi kuwaambia mfano Polisi kuwa tukiingia madarakani tuatawafukuza wote halafu utegemee watasita kukuzuia usiingie mana wewe tunataka kuingia ili uboreshe maisha yako na wao wanafanya kazi ili waendeshe maisha yao japo kwa maslahi duni na manyanyaso mengine.

Kila binadamu anapima faida na hasara kwake na maisha ya wategemezi wake.
Hivyo wapinzani waanze kuwa na lugha za kirafiki na kisiasa kwa watanzania hasa wafanyakazi katika taasisi kama mahakama ,bunge,Vyombo vya usalama ,Taasisi ya kupambana na rushwa, na hata watu wema waliopo ndani ya CCM.Mfano kuna mpinzani mmoja anawaita watu wa chama tawala maCCM.
Ni lazima kuwa na lugha za kujenga hoja za kiuzalendo na kuunganisha watanzania.





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom