Wanawake wa Capricorn

Wanawake wa Capricorn

Now days JF sio sehemu unaweza ukatoa hoja ikajadiliwa na kupata madini kama zamani. Mada zinaletwa kuongelea ukabila udini. Hakuna tena tunachoweza kujifunza.

What goes around always comes around.
Kila zama na vitabu vyake. One step ahead kumi backwards.
 
Wanawake wa Capricorn kwanza ni watafutaji. Hata waolewe na Bill Gate au yule founder wa Amazon hawarudhiki na hela ya kupewa.

Sifa ya pili ya wanawake wa Capricorn ni wapole, wakipenda wanapenda mazima. Hawezi kuwa kwenye mahusiano akawa na John au Juma pembeni.

Tatizo ni kuwa ukiwaudhi au take them for granted, hawatoi second chance. Wakimaliza wamemaliza.
Nimekutana na Capricorn.
 
Back
Top Bottom