Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,438
Wanawake wa Capricorn kwanza ni watafutaji. Hata waolewe na Bill Gate au yule founder wa Amazon hawarudhiki na hela ya kupewa.
Sifa ya pili ya wanawake wa Capricorn ni wapole, wakipenda wanapenda mazima. Hawezi kuwa kwenye mahusiano akawa na John au Juma pembeni.
Tatizo ni kuwa ukiwaudhi au take them for granted, hawatoi second chance. Wakimaliza wamemaliza.