Wanawake Vs Wanaume...

Usiku huu

Member
Sep 10, 2011
58
9
Wanawake wanadai Wanaume wana tamaa na hawapendi...
Na ndio kitu cha kwanza wanachojiuliza pindi tu akitongozwa...
Kwa wanaume hili imekaa vingne,..
Kwasababu Hatuwezi kupenda bila kutamani kwanza, lazima tuvutiwe na wewe ndio tukupende,
kwahyo, wanawake muelewe hilo, kabla ya kupendwa lazima utamaniwe...
 
Wanawake wanatumia kigezo hicho maranyingi, kama sababu ya kumkataa mwanaume, pasipo kujua kuwa, lazima utamaniwe kwanza alaf ndio upendwe..
 
labda tufanye;
maembe vs mapera
ng'ombe vs mbuzi
sangara vs sato
mchicha vs matembele
 
Hata mimi kabla ya kumsikiliza mwanaume kuna vigezo muhimu (sio hela lakini) , kwa hiyo kama mwanaume anatongoza wale wenyekutamanika tu ni sawa pia.
 
Lazima umtaman kwanza ndio umtongoze..
Na uamue umpende na kumtunza au ulale nae na kuachana nae...
Yote yanaanza na tamaa..
 
@shine, Mwali, Ashadii,.. Ni kweli kuwa mwanaume anaweza kusex na mwanamke hata kama mwanaume huyo hajampenda huyo mwanamke,..
Labda kwasababu amemtaman tu, BUT, pia hatuwezi kumpenda mtu bila kumtamani kwanza,
hapo ndipo hatuelewanagi...
 
Labda tuzigawe hizi tamaa,
1.tamaa ya kutosheleza mwili, (sex),
2.tamaa ya kuwa na wewe(kukumiliki)
 
@change it..
Dah! Hili suala la hela kwa wanawake ni ishu kubwa sana,..
Wao wanatamaa ya hela,
 
Hata mimi kabla ya kumsikiliza mwanaume kuna vigezo muhimu (sio hela lakini) , kwa hiyo kama mwanaume anatongoza wale wenyekutamanika tu ni sawa pia.
kama vigezo gani,tuambie basi
 
Km mnatutaman ndio mtupende,basi mjue tumegaramikiwa ndio maana mkatuona,
Iweje nyie mtuone tunapenda pesa ile hali pesa hiyo hiyo ndio imenifanya nipendeze mpaka unione?
Yani mnapenda vya bure sana,hakuna cha bure kwa sasa hata waliooa wanacha kodi ya meza.
Back to the topic:
Binadamu wote tunaongozwa na tamaa,
Ukinijia msafi unapendeza utanishawishi nisimame japo tusalimiane,
Na mie nikiwa niko mchafu na rafu yani sisomeki wala hutaniona hata km nitakuwa nimesimama pemben yako,

Sasa linapokuja swala la kupenda ni kwamba tamaa ndio hupelekea kupenda kwa thati,
Iwe kwa mwanamke au mwanaume,
Vile utakavyongea nami,tukiwa out utakavyonitreat na mengineyo,nitatamani kuwa nawe siku zote kitu kitakachonipelekea kukupenda,hali kadhalika kwa mwanaume,

Tatizo linakuja ni pale uongo unapoingia hapo,ndio kudanganyana inakuwa mmoja anakuta kile alichotama ni tofauti na matarajio na anakuwa hajapenda,kinachofata anaamua kudangaya then anamtafuna bint na kusepa zake,
Binti naye akikuta alichotaman ni tofauti naye anaigiza anajipatia mshiko na kusepa zake.
Haya ni kwa uelewa wangu.
 
Hao wanaume unaodai hawawezi kupenda kabla hawajatamani ni wale wasiojijua na wala hawajui kupenda maana yake nini,mimi simo kwenye hilo kundi la wajinga!
 
Back
Top Bottom