Wanawake vimodo/English figure

Wanawake vimodo/English figure

Maskini wanapenda ngono na kuwaza ngono sisi matajiri tunaangalia mwanamke mwenye classic zake,mwanamke kioo cha jamii sio wakupiga picha fb kajibinuabinua matako kama kichaa....kitu cha kwanza kabisa cha kuangalia kwenye muonekanao wa mwanamke sitaki shape kubwa...nataka vitu simple shape simple,mavazi simple,nywele simple unless kuna tukio mhm...yaani vitu vya kueleweka
 
Rafiki yangu mmoja mbobezi wa psychology kutoka university of exeter aliwahi kuniambia vimbau mbau I.Q yao ni ya hali ya juu ukilinganisha na misambwanda, anaongea hayo akivuta nyagi chupa ya pili, sijui kuna ukweli kiasi gani
 
Ukianza uzinzi na ukafanikiw kugegeda aina zote mbili utaelewa tofauti na kwann wasomi wapende vimodo na makabwela wavute mizigo
 
Unaona alivyogundua wapi kachemsha amefanya mabadiliko haraka
Huyo mtu kaweka hiyo picha kuna siku niliona.of coz siyo picha yangu ni msanii wa nigeri.Nimeitoa asijeuliza mtu mwingine hilo swali.
 
Askari wengi wanapenda vyura nimeliona saana hili.


BTW, ni ngumu Sana kulitolea jibu moja lililosahihi maana sio kila aliyemaarufu anamwanamke model Ila Mara nyingi chunguza smart women wengi wapo smart kuanzia muonekano wa nje hadi medulla.
 
Bola mschana awe Na kijungu kuliko furushi nimeon mabest zngu wakijikuna sana usiku wa joto na kutoa aruf fln iv y kero mno
 
Nimeelewa nusu, anyway wenye misambwanda wanavutia tu wakiwa na nguo ila wakishachojoa hawana kitu mpango mzima ni English figure
 
Back
Top Bottom