Wanawake Versis Wanaume

Daah nyie watu huwa mnaishi na sisi kwa machale mwee. Yani mtu hajasema kinachomsumbua basi ushaconclude anataka kukupiga kizinga, jamani khaaa
Almost inakuaga hivyo!, we unapiga simu kwa upole kabisa na sauti inabadilika eti ninashida na wewe leo naomba nikuone ni shida ya muhimu. mbwembwe zinakuwa nyingi "Kumbe unataka hela tu" hayo nmeyaona sana na mengme meng nmekutana nayo, hata jana nmepokea simu ya hivyo nikajibu juu kwa juu; akataharuki eti nimejuaje?!!! kwenu ni kawaida hiyo kitu
 
Teh basi tutabadilisha style ya kupiga vizinga ili msitusome mapema
 
Basi hizo ni anecdotes zako tu ambazo hazi apply kwa wanawake na wanaume wote.

#Drop the mic!#
you don't get it, do you? kwani nimesema wote? hivi mtu akisema wazungu wana akili kuliko waafrika anamaanisha kila mzungu ana akili kuliko mwafrica? naona kukuelewesha inakua ngumu sana
 
you don't get it, do you? kwani nimesema wote? hivi mtu akisema wazungu wana akili kuliko waafrika anamaanisha kila mzungu ana akili kuliko mwafrica? naona kukuelewesha inakua ngumu sana

Ukisema Wazungu wana akili kuliko Waafrika bila qualification [unajua hata qualification ni nini wewe] unakuwa umetoa blanket statement.

Sasa watu kama mimi lazima tutahoji mapungufu ya kauli yako.

Unajua blanket statement ni nini?

#Drop the mic#
 
Ukisema Wazungu wana akili kuliko Waafrika bila qualification [unajua hata qualification ni nini wewe] unakuwa umetoa blanket statement.

Sasa watu kama mimi lazima tutahoji mapungufu ya kauli yako.

Unajua blanket statement ni nini?

#Drop the mic#
blanket statent or whatever bullshit, vp umepata point yangu au hujapata? kama hujapata ngoja nikupe mfano mwingine nikisema wanafunzi wa kiume wanafanya vizuri darasani kuliko wa kike kwani nitakua namaanisha kila mwanafunzi wa kiume anafanya vizuri kuliko mwanafunzi wa kike?
 
blanket statent or whatever bullshit, vp umepata point yangu au hujapata?

First off, it is 'blanket statement' and not 'blanket statent'.

Second off, why are you foaming at the mouth? Is it because I'm cornering you?

Be easy.

kama hujapata ngoja nikupe mfano mwingine nikisema wanafunzi wa kiume wanafanya vizuri darasani kuliko wa kike kwani nitakua namaanisha kila mwanafunzi wa kiume anafanya vizuri kuliko mwanafunzi wa kike?

Ndiyo, ukisema hivyo bila kuweka qualification utakuwa unamaanisha hivyo, kwamba kila mwanafunzi wa kiume 'anafanya vizuri kuliko mwanafunzi wa kike'.

#Drop the mic#
 
Andiko..limenyambulishwa vizuri Sana...asante sana mkuu kwa chakula cha ubongo.
 
hahaaa you are the expert on language, aren't you? no nitakua simaanishi hivyo, nitakua namaanisha kua wanafunzi wa kiume kwa wastani wanafanya vizuri zaidi, ila ukichukua mwanafunzi mmoja mmoja wa kiume na wa kike ukiwalinganisha, utapata kuna baadhi ya wanafunzi wa kike wanazidi pia wa kiume
 
hahaaa you are the expert on language, aren't you?

Nope, I am just lil' 'ol Ngabu.

no nitakua simaanishi hivyo, nitakua namaanisha kua wanafunzi wa kiume kwa wastani wanafanya vizuri zaidi, ila ukichukua mwanafunzi mmoja mmoja wa kiume na wa kike ukiwalinganisha, utapata kuna baadhi ya wanafunzi wa kike wanazidi pia wa kiume

Eewaaa, hapo sasa tupo ukurasa mmoja.

Hiyo 'kwa wastani' ndo qualification yenyewe hiyo.

We mwenyewe huoni kama hiyo sentensi iko tofauti na za awali?

Natumai baada ya hapa sasa utakuwa makini zaidi katika kauli zako.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…