Wanawake Versis Wanaume

Jamani mpenzi unifiche wewe alafu uniulize hilo swali?
Yani unataka kusema mi ni msahaulifu kiasi hicho..Yani naweza kuficha kitu na nikasahau kilipo?...Nyosha maelezo bana
 
Duuh!!! haya bana..Hiyo tabia uiache ukiingia ndoani..Daddy itabidi akufunde kabla ya ndoa teh
 
Hahaha kwa nini daddy, imekuwa ikinisaidia sana tangu nipate akili. Otherwise sijui ningekuwaje
 
9) Mwanamke ni msiri sana na anaweza kufa na siri yake. Mfano akiwa na mtoto wa nje anaweza kupiga kimya mpk siku yake ya mwisho hapa duniani ila Mwanaume hawezi,ipo siku atasema tu.
 
Hahaha kwa nini daddy, imekuwa ikinisaidia sana tangu nipate akili. Otherwise sijui ningekuwaje
Teh teh..Usiri mwingi ndoani unamfanya husband awe na doubts nyingi..Na mwingine ataona hauthamini uwepo wake au haumwamini.
 
Noop daddy kama ni issue ya kuongea si naongea tu. Me naongelea mabalaa yangu nayokutana nayo sasa hivi, napendaga kusolve issue zangu mwenyewe zaidi ili nisije kuwa na regrets baadaye coz nimeamua mwenyewe kufanya kitu fulani kwa utashi wangu
 
wewe hujaelewa yeye hapa hazungumzi kila mwanamke yoyote atakua anaweza kudanganya kumzidi mwanaume yoyote, au wanawake wakidanganya huwa hawajulikani, no... yeye anamaanisha kwa average wanawake wanaweza kudanganya kuliko wanaume
 
wewe ni kama mimi dada, dah sometimes unakuta nina mzigo wa dunia yote kichwani ila sikimbilii kumwambia mtu, na solve (saa nyingine kwa kutumia njia za ajabu na za hatari) na ambo yanaisha tangia.... tangia nikiwa mdogo life langu lipo based on secrecy and self- reliance, huwezi amini mimi mtu mzima sasa hivi ila sijawahi kabisa kukopa hela maishani
 
wewe hujaelewa yeye hapa hazungumzi kila mwanamke yoyote atakua anaweza kudanganya kumzidi mwanaume yoyote, au wanawake wakidanganya huwa hawajulikani, no... yeye anamaanisha kwa average wanawake wanaweza kudanganya kuliko wanaume

Hiyo average imepatikanaje?

Ni ya kukisia au...?
 
Hiyo average imepatikanaje?

Ni ya kukisia au...?
mojawapo kati ya njia za kufanya research ni observation, ukifanya observation kwa muda unaotosha unapata majibu correct kabisa ya research..
jaribu hata ku Google utajua
 
Na unaweza pia usipate majibu sahihi vilevile.

Ndo maana kufanya hivyo si njia pekee ya kufanya utafiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…