Wanawake: Ukimpenda mwanaume mtongoze

Hao wanawake unaowaongelea mkuu wa mwaka gani...au hawa hawa wa awamu hii ya tano....ha ha ha wanawake siku hizi tumevurugwa tukipenda tunafungukaa....hatuna shida labda useme wa miaka ya 80 huko lakini si sasa au hao unaowaongelea wa kutoka huko kyambamkumbe sio dar es salaam hii.
 
Mkubwa mi naona iyo ni kama natural imeshajitengeneza kuw mwanaume ndo wa kutongoza na mwanamke ni wa kutongozwa kwaiyo mi naona tuwavumilie tu kwa ilo
 
Hahahaa umetisha sana
Ukimpenda mwanaume mtongoze...hakiyanani mimi Mwanamke akinitongoze kila siku Asubuhi lazima nimpe angalau kilo na nitamuheshimu sana sana Aiseee coz nitamuona jasiri sana sana hata
 
Ukimpenda mwanaume mtongoze...hakiyanani mimi Mwanamke akinitongoze kila siku Asubuhi lazima nimpe angalau kilo na nitamuheshimu sana sana Aiseee coz nitamuona jasiri sana sana hata
Kilo? Unatafuta mafuriko pm eeh?
 
Hilo la pesa sio sana ila mara nyingi huwa ni neno la kujifariji kutokana na kushindwa kueleza hisia zetu.
Mkishindwa kabisa basi andikenj hata barua, au tumeni washenga hamuoni India wenzenu wanatoa hadi mahari kabisa
 
Niuzamani huo
 

dah.!!.
mkuu mpaka nimekuonea wivu yani...
 

ebwana jamaa hyo 'Movie' yako na mkeo jinsi mlivyoakutana na kujuana mpaka mlipofikia nimeipenda mno.
mnastahili pongezi.
Mungu azid ijaalia familia yenu furaha na amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…