Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,252
- 11,653
Dark City!
Nalikuwa msafiri tu kaka.
Tarehe 02/02/2013 lambalamba mmoja alikamatwa,
Wananchi wakafunga barabara ya Mpwapwa -Kibakwe;
Wakishinikiza lambalamba wao aachiwe huru.
Asubui ya 03/02/2013 nilishindwa kurudi Mpwapwa kwa muda kwani walikuwa wamefunga barabara,
Ndivyo nilivyokijua kisa hicho.
Hata hivyo angalia mchango namba 07
Bazazi!
Wananchi wote ni wahanga wa mfumo wa kishirikina unaoshabikiwa na baadhi ya wakubwa wao...
Wanahitaji masiah kutoka nje ili kuwasaidia kuyaona maisha katika mwanga bora.......
Bado naamini wanaharati wanaweza kutoa mchango mkubwa ili upuuzi kama huu usijirudie tena..
Babu DC!!