WANAWAKE: Udhalilishaji Unaofanywa na Lambalamba

WANAWAKE: Udhalilishaji Unaofanywa na Lambalamba

Bazazi unaweza kuripoti habari hizi kwa taasisi zinazohusika na haki za wanawake tafadhali? Just tell them what you saw and urge them to act?
savedlema
Ni kweli naweza kuripoti hii maneno,
Tatizo miye mtu wa vijijini zaidi;
TAMWA TAWLA wanaweza kuiona humu jamvini na kuifanyia kazi
Hii ndio faida ya JF

Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
Bazazi, kwa base ya taarifa uliyotoa, nimewataarifu TAMWA,LHRC,TNGP na WLAC, nadhani kama wanatimiza wajibu wao labda watafuatilia.
Na kama ulivyosema, hii ndio faida ya JF. Mungu akubariki kwa kupaza sauti yako.
 
Hawa lambalamba, Dr manyaunyau na wengine wa dizaini hiyo mi naona wangepelekwa jela tu!!!
hawana maana katika jamii.....
 
Smile!
Nilijua watu hawataniamini ndio sababu nikaweka anuani kamili ya eneo lilitokea udhalilishaji huo.
Hebu tafuta mtu wa Mpwapwa kama unaye muulize yaliyotokea katika kijiji cha Chiseyu.

Bazazi!
​

Najisikia kutapika... masikini wali wangu nlokula unatoka...
 
wapiga kura wa mkoa mzima wa Dodoma wamelala sana wacha lambalamba wajilambie tu
 
Dark City!
Nalikuwa msafiri tu kaka.
Tarehe 02/02/2013 lambalamba mmoja alikamatwa,
Wananchi wakafunga barabara ya Mpwapwa -Kibakwe;
Wakishinikiza lambalamba wao aachiwe huru.
Asubui ya 03/02/2013 nilishindwa kurudi Mpwapwa kwa muda kwani walikuwa wamefunga barabara,
Ndivyo nilivyokijua kisa hicho.
Hata hivyo angalia mchango namba 07

Bazazi!

Na wananchi nao sijui wana nini kuwaamini hawa watu...!!
 
Bazazi, kwa base ya taarifa uliyotoa, nimewataarifu TAMWA,LHRC,TNGP na WLAC, nadhani kama wanatimiza wajibu wao labda watafuatilia.
Na kama ulivyosema, hii ndio faida ya JF. Mungu akubariki kwa kupaza sauti yako.

Amen (Na iwe hivyo).

Bazazi
 
Back
Top Bottom