SK2016
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 8,076
- 13,953
Yes. Niliogopa kuoa kimasihara.Ahahaha mkuu uliogopa kuoa kimasihara?. Je ungeenda uwanjani alafu baadae akaja kukwmbia ana mimba nako ungefanyaje?
Ilikuwa siku nyingi zimepita, kama mwaka na nusu.
Ingekuwa kwa sasa ningemkubali mapema. Maana kwa sasa nina uhitaji wa kuoa.
Na kama ningefanya naye mapenzi akanambia amenasa, ningekubali. Sina tabia ya kukataa wala kukimbia mimba.
Sent using Jamii Forums mobile app