Wanawake tutafute elimu na pesa tuuporomoshe mfumo dume

Wanawake tutafute elimu na pesa tuuporomoshe mfumo dume

Kwahiyo ukipata Elimu na fedha ndio notion ya "women empowerment" itakua imekamilika?

Kazi ipo.....being educated na kua na financial decision defines some component za empowerment ila kuna zaidi ya hapo, vipi mtazamo wa jamii juu ya gender roles? Position ya mwanamke?
 
Mnafeli kwenye tafsiri ya uhuru mnajikuta mnapigana na uhalisia(nature). Uhuru ni fikra huru na kukubali nafasi yako kwenye Jamii na si nguvu ya pesa. Wanawake ni watu muhimu sana Ila hawataki kupigania umuhimu wao wanapigana wawe wanaume. Ukitaka kuwa provider na mtendaji mkuu wa mahitaji yako ujue unataka kuwa mwanaume. Ni haki yako kupendwa, kuhudumiwa na kutunzwa. Na haya ndio mambo ya kuhakikisha watoto wanaume wanafundishwa na mama zao.
 
Chamoto, Usitutishe!

Vyote ulivyotaja havina logic!

Wanaume wanyanyasaji sana khaa!
Kama vp unajioa mwenyewe, kwa kipindi hiki ambacho wanawake mmepata helimu uongozi na pesa ndio kinaongoza kwa ndoa nyingi kuvunjika, sasa sijui faida ya iyo ni nini katika maisha yenu. na wanawake wengi waliovunja ndoa zao ndio wanawashawishi mlio nazo mtoke na mnaotaka kuingia muingie mkijiandaa kutoka wanataka mfanane ila fainali uzeeni
 
"Pesa huleta nguvu, heshima, mamlaka na ushawishi."

Nakuonea huruma.Kesho utaenda kwa wachungaji ukisubiria upepo wa KISULISULI.
 
@Chamoto,Daaah...! Huu usemi inabidi niuhifadhi,mara nyingi natafutaga maneno mazuri ya kuwapa hawa dada zetu kuhusu haki sawa huwa nashindwa kuyapata. Lakini haya yamefit,japo kama bado kidogo mkuu,waongezee nyama ili yakolee. Unajua ndoa nyingi sana sasa hivi,karibia 90% ya ndoa sio Tanzania tu,afrika ziko katika hali mbaya sababu kuu haki sawa. Asante sana
 
Kifupi unawataka wanawake wawe na hivyo vitu, ili wawe na uwezo wa kujimwambafai kwa wanaume wao, ili ndoa zidumu sio?!
 
Ni kweli aisee
Sijui ni kwanini na wala sitaki kujua sababu ila ni ukweli ulio wazi kwamba ndoa zote zilizo stable ni zile ambazo wanawake wanatambua mipaka ya utandawazi wao kielimu na nafasi zao katika familia. Elimu huleta kiburi na kujiinua kwa baadhi ya kina dada na hii ni kansa moja mbaya sana ambayo hufisha na kudumaza mahusiano na ndoa kwa ujumla!
 
Mfumo dume una raha yake basi tu. Cha muhimu yasiwe manyanyaso
Sijui ni kwanini na wala sitaki kujua sababu ila ni ukweli ulio wazi kwamba ndoa zote zilizo stable ni zile ambazo wanawake wanatambua mipaka ya utandawazi wao kielimu na nafasi zao katika familia. Elimu huleta kiburi na kujiinua kwa baadhi ya kina dada na hii ni kansa moja mbaya sana ambayo hufisha na kudumaza mahusiano na ndoa kwa ujumla!
 
Wanaume tunapenda wanawake waelewa (sio wajuaji), ambao hutumia akili kupata wanachotaka. Na uelewa ni pamoja kufahamu kuwa tuko kwenye ngalawa moja, tukikorofishana ngalawa yenu itazama.
Sasa anachotaka huyu ni ujuaji kwenye ndoa,japo hajui anachokwendea
 
Thanks a lots for last said money can not buy any things@niah,
Nina pesa, nafasi lakini kupata furaha unahitaji wapendwa wa kukufariji. Watu wanafikiri ukiolewa na mwamme na mna pesa ndo mwisho siyo kweli. You need company. Nimejitahidi kupata company ambayo mimi ni kama mama yao but we meet once a week and we click. Maisha ni mafupi tutafute jinsi ya kuishi. Pesa inatafutwa na inaachwa laini furaha, upendo, maridhiano vipo pale. Kuna wakati unaweza ona pesa ni maghalasha kama huna mpangilio.
 
Unaji console tu! Inaonesha kuna pahala katika elimu ulikwama. Si wewe ni wa the Bold?
Yawezekana unasema ukweli maana nilipokuwa nachukua Masters yangu pale Cambridge Uni nilishindwa kujibu swali moja ambalo ni siri yangu. Ukweli sisi wote si wakamilifu. nafanya kazi nzuri lakini kama ulivyosema nina mapungufu ndo maana nasema hakuna mtu aliye perfect hata uwe na Phd ndo maana nimeamua kuvuta mabox ili bora liende.
 
Unaji console tu! Inaonesha kuna pahala katika elimu ulikwama. Si wewe ni wa the Bold?
Pole ndugu mimi elimu kwangu si shida kama kusoma nimesoma na nimeelimika kuweza kutunza ndugu na watoto wasio na uwezo kibao. Tunatumia ID fake ndo maana. cc: Mwifwa, mshana jr..
 
Back
Top Bottom