Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,883
- 22,310
Si wanaume wote wanyanyasaji, wapo wengi tuu wastaarabu tatizo ni kuwa wanawake wengi hasa wakiwa wabichi (18-25) wanavutiwa na wanaume wakorofi na wanyanyasaji. Huwa mnachanganya kujiamini kwa mwanaume na ukorofi, matokeo yake mnafikiri wanaume wote wako hivyo, la hasha...ni hao unaowapenda ndiyo wako hivyo.