Wanawake turogeni tupate hela

Wanawake turogeni tupate hela

Hata kukuroga wewe upate pesa haiwezekani, utarogwa ili umpe hiyo pesa uliyo nayo😆
Si mnasemaga pesa ya mume tamu roga sasa
 
Wapo wenzio wanarogwa, mi napewa hicho kidogo alichonacho hajawahi kuninyima,nakula hela yake ikifika tar 1 mshahara kwishnei tunasota na shida zetu kusubiria mshahara mwingine...ukitoka ni mitungi, blanti, mikasiiii...tar moja hamna kitu. Life goes on and on
 
Wife mufilisi..🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom