ragin
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 7,391
- 9,378
Wenzetu wakitendwa kauli mbiu "watafte pesa" mapenzi yatajileta.
Wanawake je tufanyaje?
Iko hivi
My childhood friend Zuwena (jins sio halisi) kwao wako vizuri uchumi kati Baba yao alitangulia mbele ya haki wakabaki na mama,,. Huyu Zuwena aliolewa na kubahatika mtoto 1
Aliemuoa aliaply masomo ya elimu ya juu ili kujiendeleza akiwa kazini, kwa bahati nzuri chuo alichoaply ndio karibu na ndiko wazazi wa Zuena wanakoishi,.
Mzazi wa Zuena alipopata taarifa kuwa mkwe atakuja kusoma kwa upendo wakashauriana na Zuwena wakitoka huko mkoa kwa kipindi hicho cha masomo watapanga au wakae wakae nyumbani mpaka atakapo Mali za masomo?
Zuwena aliona ni bora wafikie nyumbani kwao huku Mume wake akimaliza masomo watarudi mkoa walikotoka na ukizingatia kipindi hiko cha JIWE hata kama upo kazini husomeshwi utajisomesha kwa pesa zako so vitenda vya hela ndogondogo huwezi hata kuwa navyo ni bora wafikie kwao.
Masomo yameisha miaka 4 ya tabu, shida na masumbukohadi mama mtu kujitolea kulipia ada mkwe ili amalize semester n.k mbaya zaidi mwanaume kwao hawasapoti wala hawataki kusikia shida mama wazuwena alipoona hivo akaamua abebe huo mzigo ili amalize tu waondoke yote haya ni zuwena ndo alikuwa anamlilia mama yake amsaidie mumewe kwenye matatizo yao.
Mume wa Zuwena amesharudi kazini mwaka wa 3 sasa hajaichukua familia yake na aliaga anatangulia kuweka mazingira vizuri ndo mke na mtoto waje.
Kila Zuwena akichachamaa aende mumewe anasema hana nauli, maisha bado magumu ooh kijijini wazazi wake wanamuomba hela sijui ndugu yao amepata ajali hela zimemtoka hadi hawezi kujiendeleza n.k kwakuwa aliondoka na mizigo baadhi ya Zuwena na mtoto na pale nyumbani walibaki na nguo za kushindia tu wakijua after one month atakuwa keshaenda kwa mumewe.
Zuwena ikafika mahali akaomba arudishiwe vitu vyake ili apate walau hata nguo zakubadili ila mumewe akawa anamwambia atakuja wiki ijayo tanguliza nguo nyingine na vyombo baadhi mpe mfanyakazi mwenzangu atakuja huko bila kinyongo akampa huku akijua next week ye Zuwena atakuwa kwa mumewe kumbe ndo hivo mpaka leo 3 years now.
Swali Zuwena afanyeje? Ikiwa wanaume wana kauli mbiu "TAFTA HELA".