McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,388
- 7,551
Boxing dei ndio hii hapa maisha yako kasi sn maana najua wengi wetu zawadi ni hadithi na jana yenyewe imepita wima naona ujamaa umefutika kbs.
Back to the topic nlikua maeneo kusheherekea hii siku ila nimekutana na vihoja ambavyo imebidi nijiulize ivi cc wanaume tunawanyanyasa hawa wanawake au wenyewe ndo chanzo naanza kuamini anguko la m'mke ni m'mke mwenyewe.
Ivi ni lzm mkija kwny kumbi za starehe dada zng ni lzm muwe nusu uchi kwn ni sare kwenu kutuonyesha papuchi zenu na nguo za kubana ili kututangazia ivo vikalio pasipo sababu naona suala la kujistiri kwenu ni msamiati mbn umekuja na bwana ako kavaa vzr tu hajavaa nguo za kuonyesha 'biology' zake mmerogwa au...?
Ivi Ally Choki na Nyoshi mbn jukwaani wanavaa suti na nguo za heshima na wanapendeza sana
Kinachowafanya Rukia na Joy tukunyema kucheza show uchi ni nini km sio mna vichaa ni lzm mtuonyesha izo nanlii zenu..pumba.v.u nyie kanga moko nn na nn sijui
Nimekereka maana km kucheza show Super Nyamwela nae mcheza show mbn hajapanda na boxer kuwaonyesha dudu yake msivo na aibu asbh mnawahi kwny tabloids na media kusema mnanyanyaswa sn kijinsia.
It's high tym nw kwa nyie kujiheshimu wenyewe kwnz cc tutafata vinginevyo hii mitungo na kubakwa itakua ni sehemu ya maisha yeny mfn leo sikilizieni idadi ya waliokumbwa na kadhia itakavokua kubwa.
Mnakeraaaaaa na mmesahau kahawa iliyo wazi wala hainukii tena haina thamani,samahani kwa mama zng wenye heshima zenu ila muwanange hawa wenzenu waache kujianika km vikahaba kisa uzungu cjui.
Tafakarini mchukue hatua mwny kununa anune yng nimeyatoa mwny maoni yaweke km umekutana na balaa la kulazimishwa kuona papuchi siku ya jana km mm...m out!!!