WANAWAKE:tunawanyanyasa au wanajinyanyasa??

McDonaldJr

JF-Expert Member
Sep 25, 2013
6,392
2,000
Boxing dei ndio hii hapa maisha yako kasi sn maana najua wengi wetu zawadi ni hadithi na jana yenyewe imepita wima naona ujamaa umefutika kbs.
Back to the topic nlikua maeneo kusheherekea hii siku ila nimekutana na vihoja ambavyo imebidi nijiulize ivi cc wanaume tunawanyanyasa hawa wanawake au wenyewe ndo chanzo naanza kuamini anguko la m'mke ni m'mke mwenyewe.
Ivi ni lzm mkija kwny kumbi za starehe dada zng ni lzm muwe nusu uchi kwn ni sare kwenu kutuonyesha papuchi zenu na nguo za kubana ili kututangazia ivo vikalio pasipo sababu naona suala la kujistiri kwenu ni msamiati mbn umekuja na bwana ako kavaa vzr tu hajavaa nguo za kuonyesha 'biology' zake mmerogwa au...?
Ivi Ally Choki na Nyoshi mbn jukwaani wanavaa suti na nguo za heshima na wanapendeza sana
ImageUploadedByJamiiForums1388025420.754818.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1388025456.889373.jpg
Kinachowafanya Rukia na Joy tukunyema kucheza show uchi ni nini km sio mna vichaa ni lzm mtuonyesha izo nanlii zenu..pumba.v.u nyie kanga moko nn na nn sijui
ImageUploadedByJamiiForums1388025597.836557.jpg
Nimekereka maana km kucheza show Super Nyamwela nae mcheza show mbn hajapanda na boxer kuwaonyesha dudu yake msivo na aibu asbh mnawahi kwny tabloids na media kusema mnanyanyaswa sn kijinsia. ImageUploadedByJamiiForums1388025944.349818.jpg

It's high tym nw kwa nyie kujiheshimu wenyewe kwnz cc tutafata vinginevyo hii mitungo na kubakwa itakua ni sehemu ya maisha yeny mfn leo sikilizieni idadi ya waliokumbwa na kadhia itakavokua kubwa.
Mnakeraaaaaa na mmesahau kahawa iliyo wazi wala hainukii tena haina thamani,samahani kwa mama zng wenye heshima zenu ila muwanange hawa wenzenu waache kujianika km vikahaba kisa uzungu cjui.
Tafakarini mchukue hatua mwny kununa anune yng nimeyatoa mwny maoni yaweke km umekutana na balaa la kulazimishwa kuona papuchi siku ya jana km mm...m out!!!
 

Albosignathus

JF-Expert Member
Apr 26, 2013
4,813
1,195
Mkuu hizi picha sio za jana kuna picha hapo ni ya miaka 5 iliopita.Kumbuka kila mtu ana uhuru wa kuvaa bora tu asitembee uchi na mavazi si tabia halisi ya mtu! Kule Pemba wanavaa vizuri sana utakavyo wewe ila ndio viongozi wa ku- sodomana na ku-sodom.
 

McDonaldJr

JF-Expert Member
Sep 25, 2013
6,392
2,000
Mkuu hizi picha sio za jana kuna picha hapo ni ya miaka 5 iliopita.Kumbuka kila mtu ana uhuru wa kuvaa bora tu asitembee uchi na mavazi si tabia halisi ya mtu! Kule Pemba wanavaa vizuri sana utakavyo wewe ila ndio viongozi wa ku- sodomana na ku-sodom.

Hakuna picha ya jana na cjasema izo picha za jana km umesoma vzr my take z bout wao kujiheshimu that's ol na huo uhuru ndo unafanya wanyanyaswe kwa kubakwa na kudharauliwa na nadhani ni uhuru cuz ni dada za wengine wat if ni mdogo wako yuko nusu sorry nah hard feelings m express my opinions km ukivofanya so uko sahihi kwa unachokiamini.
 

McDonaldJr

JF-Expert Member
Sep 25, 2013
6,392
2,000
h120 sawa wapi kazini sikatai ila mbn Nyamwela na yupo kazini kavaa vzr au uyo Choki that aint fair wanapotulaumu watu8 waseme bac wako kwny biashara ili yakiwakuta tuseme ajali kazini alafu wasitulaumu wateja wao.
 
Last edited by a moderator:

Fadhili Paulo

Verified Member
Sep 1, 2011
3,220
2,000
Wanawake ndiyo zao hizo kuvaa nusu uchi ndiyo fashion siku hizi si unaona hata matiti siku hizi wanayaweka peupe tu? ila bilashaka kuna wateja wanaopenda mambo hayo ya nusu uchi uchi
 

kaka km

JF-Expert Member
Nov 16, 2013
1,309
2,000
Mi nimekosa neno la kuwaambia au kuwasemea wanawake maana naheshm ushauri wa dada angu ennie,ila naomba niseme boxing day njeeema!see you tommorow wrestling day!
 

Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
18,933
2,000
Hivi wewe unajua maana ya unyanyasaji!?

Wanawake wakitendwa, ndipo husema wamenyanyaswa, ila wakitenda wao, mambo ni bombastic!

Ukiona TAMWA na TGNP ziko kimya, ujue hapo hamna unyanyasaji!
 

McDonaldJr

JF-Expert Member
Sep 25, 2013
6,392
2,000
Hivi wewe unajua maana ya unyanyasaji!?

Wanawake wakitendwa, ndipo husema wamenyanyaswa, ila wakitenda wao, mambo ni bombastic!

Ukiona TAMWA na TGNP ziko kimya, ujue hapo hamna unyanyasaji!

Hii ya kucheza uchi hawa TGNP na TAMWA wanavunga hawalioni km hawa khanga moko ni kijidhalilisha na unakuta wadada wanawashabgilia wenzio kwny show.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom