WANAWAKE:tunawanyanyasa au wanajinyanyasa??

WANAWAKE:tunawanyanyasa au wanajinyanyasa??

Mkuu hizi picha sio za jana kuna picha hapo ni ya miaka 5 iliopita.Kumbuka kila mtu ana uhuru wa kuvaa bora tu asitembee uchi na mavazi si tabia halisi ya mtu! Kule Pemba wanavaa vizuri sana utakavyo wewe ila ndio viongozi wa ku- sodomana na ku-sodom.

Hata kama picha ni za miaka 20 iliyopita haijalishi, ukweli unabaki palepale, uvaaji wa baadhi yao haufurahishi, ninashangaa sana watu kama nyinyi kushabikia upuuzi unaofanywa na baadhi ya dada zetu, ni aibu, aibu aibu sana. Yani wanalazimisha kubakuliwa hivi hivi, kijeba hata kama kilikua hakina mpango nae lakini kwa mavazi haya yanapelekea kianze kumtamani na mwisho wa yote kubakuliwa.

Acha kutetea upuuzi wewe
 
Ni wakati wa Mwisho Danieli Aliyaona haya Kwamb siku Za Mwisho maarifa yataongeZeka no maadilr KuPoromoka kabisa ndo maa Leo mtU kulala na Umbu lake (dada) nikitu cha kawaida kabisa ha hata wengine kuzini na wo2aZi Wao leo hater baadhi ya wazazi wanawanUnulia watoto WaO vijinguo vya ajabu sasa huyo mtoto atajulia Wapi nguo 2a heshima? TUBADILIKE
 
Back
Top Bottom