Eti wanasema wanapimiwa!na ubahili wao usipimiwe mchezo๐๐watoe milungula waone wanavyopewa yotee๐ ๐ ๐ ๐ Ndo maana wanalalamika wananyimwa
Kina LIWALO NA LIWE ๐น๐นMapampula ndio kina nani ?๐๐๐
Wapuuzi kabisa!eti nyumbani wanajifanya maisha magumu wife vumiliaWasipotoa wananyimwa ๐ ๐ ๐
Mbona huko barabarani wanatoa.
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃoiiii!kina kuna mchongo nausikiliziaKina LIWALO NA LIWE ๐น๐น
girlfriend day inakuja๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃwe hayaYani wewe ๐คฃ
Ni kuumwa chango kwa kwenda mbele dadek!๐Siku hizi wanawake wanasema wanaumwa ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
I miss you bwana๐ฅฐ๐ฅฐ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃoiiii!kina kuna mchongo nausikilizia
Najua ni mahaba tu, maana hela tayari nimeshakupa.Ushajua nataka nini
Yani maigizo au ๐Sio mbaya ila haya yote sisi mamen faida yetu ni nini. Coz sio siri kuna wanawake hawapendeki, hawaheshimiki, hawadhaminiki nk hata ufanyeje. Ila sio mbaya sana mimi labda niwape wanaume siri, mfano mpo wote labda harusini au msibani wewe mpange kabisa mkeo ufanye hili ili wajue unampenda na unamdhamini. Mda wa kwenda home hakikisha yeye ndo anatangulia kwenda home mkifika palipo na watu wengi mpe hug ya kumwambia bye ila mnongoneze kuwa tumia f10 tu, then toa wallet yako mpe hata 50k au laki but make sure umempanga na kwa tukio hilo tu umempa heshma na upendo na kila kitu kilichotajwa kwenye uzi then baadae sasa ndio wewe uende kivyako uombe chenji yako mcheke mlale. Yaani hapo ucheze na hela kama zile za goli la mama. Acha nimalizie glasi mbili kwanza.
ko mimi unanipa maneno wengine unawapa hela๐คฃNajua ni mahaba tu, maana hela tayari nimeshakupa.
Chenchi?yaani unipe laki take na chenchi tena?hapo unapewa kwa manjonjo chenchi sahauSio mbaya ila haya yote sisi mamen faida yetu ni nini. Coz sio siri kuna wanawake hawapendeki, hawaheshimiki, hawadhaminiki nk hata ufanyeje. Ila sio mbaya sana mimi labda niwape wanaume siri, mfano mpo wote labda harusini au msibani wewe mpange kabisa mkeo ufanye hili ili wajue unampenda na unamdhamini. Mda wa kwenda home hakikisha yeye ndo anatangulia kwenda home mkifika palipo na watu wengi mpe hug ya kumwambia bye ila mnongoneze kuwa tumia f10 tu, then toa wallet yako mpe hata 50k au laki but make sure umempanga na kwa tukio hilo tu umempa heshma na upendo na kila kitu kilichotajwa kwenye uzi then baadae sasa ndio wewe uende kivyako uombe chenji yako mcheke mlale. Yaani hapo ucheze na hela kama zile za goli la mama. Acha nimalizie glasi mbili kwanza.
Nafanya tu matani laazizi. Kuwa na amani ya mutima ๐ฅฐko mimi unanipa maneno wengine unawapa hela๐คฃ
Mimi ๐ฅฐ๐Wewe huyo ๐