Wanawake tunapenda hivi...

Ap
Point unazo mkuu, ila hili la kufurahi kupendwa, lina ukakasi.

Rudia kulifafanua, je mnafurahia kupendwa na watu mnaowapenda au mnafurahi kupendwa na yeyote?

Kama ni hivyo kwa nini huwa mnavurumsha matusi pindipo mtu anapokutongoza?

Ingawa binafsi nafahamu kuwa matusi ya mwanamke katika 'tongozwa mode' huwa ni kelele za chura zisizozuia ng'ombe kunywa maji!

Sa'niambie, matusi unaweza kuyauza kwa mtu anayeonesha kukupenda ili kujaza furaha yako?
 
Sijajua unatongoza watu wa aina gani na unatumia lugha Gani wakati wa kutongoza.

Pengine vipi kuhusu muonekano wako.

Unatukanaje mtu ambaye hajakukosea?
 
Sijajua unatongoza watu wa aina gani na unatumia lugha Gani wakati wa kutongoza.

Pengine vipi kuhusu muonekano wako.

Unatukanaje mtu ambaye hajakukosea?
Sasa wewe mkuu si una busara halafu mwelewa?

Kuna wanawake washenzi asikwambie mtu!

Washaona matusi na nyodo ndiyo silaha zao za maangamizi.

Lakini mi nishajiapiza mwanamke nikimtokea akanitukana waalah lazima nilale naye,bora yule mstaarabu anaye kukataa kisayansi.
 
Hata mimi nakusapoti.
Lala nae tu kwakweli.
Kwa sababu ni ushamba.

Mtu anamwaga sera zake kwa nini umtukane?
Inakataa tu kiustarabu jamani
 
Lakini hata mimi vya kwao huwa nakula tu sana ikiwemo na hizo pesa zao pia

Muda mwingine tunatoka bills zote anamaliza yeye

Penzi linakuwa la pande zote mbili sio mmoja awe parasite kwa mwenzake linanoga sana na halichoshi
Nakubaliana na wewe.
Wote mkiwa watoaji ni kitu kizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…