Wanawake tunapenda hivi...

duuh je ambao hatuwezi kuigiza hivy
 
Kwamba Kila kitu kizuri mnataka mfanyiwe nyie Ili mnawiri harafu mwanaume achakae si ndio? 😂😂😂😂

Mimi nitafanya nachojiskia,yaani nikunawikishe Ili wagonge wengine wakati Mimi Nina stress za maisha hata hamu ya kutiana Sina? Sifanyi huo ujinga
 
Sasa Choice huu ni wivu 😅
Tuache tupendeze na tuvutie jamani
 
Hizo sifa ulizo sema ni sahihi na ndiyo sababu zinazo mfanya mwanamke asiwe kiongozi mzuri hata siku moja ..mfano ukiwa na watu wawili mmoja anapenda sana kupewa hela au kutendewa wema ..na mtu wa pili anapenda sana kutoa hela na kuwatendea mema watu ...basi hapo anaye weza kuja kuwa kiongozi mzuri ni huyo wa pili siyo wa kwanza.
 
Sawa
 
Iko hivo 😊
 
Sasa Choice huu ni wivu 😅
Tuache tupendeze na tuvutie jamani
Huwa nawashangaa sana wanaume ambao unakuta anahangaika amechakaa harafu kazi anayofanya ni michosho tupu na Haina hadhi lakini mwanamke wake Yuko safi ,ndio kusema pesa zote anatumia kupendezesha mwanamke wake ,huyo Huwa namuita mpumbavu.

Mimi nilishazoesha mwanamke kuishi kindava sana sana Mimi ndio nampigia kelele akapendeze Kwa kujiremba ila yeye alishaingia kwenye mfumo wangu 😂😂😂😂
 
Okay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…