jean phillipe beyun
Senior Member
- May 18, 2015
- 142
- 167
Miaka kadhaa nyuma iliingia fashion ya wanawake kuvaa skin tight kwa ndani, yaani anaanza kufuli, then hiyo skin tight, then ndipo linakuja gauni au suruali, sizungumzii tight maarufu zinazofika miguuni zivaliwazo na akina dada wengi kwa sasa, nazungumzia zile fupi zinazoishia mapajani, wamachinga wanaziuza sana.
Sasa nimeshangaa nina wiki moja hapa Mwanza kikazi ila nimeshtuka kuwaona akina dada wengi hapa wakiwa wamevaa hizo skin tight za kizamani ambazo zina taswira mbaya maana michirizi yake inaonekana hata mtu akivaa suruali hasa kule mapajani kulikopindwa na kuondoa urembo wa mwanamke na kuonekana untied.
Wengine akiwa amevaa skirt, kimini au gauni akikaa nguo Mara nyingi hupanda juu, sasa cha kwanza kuona ni hilo li skin tight likijitokeza, sasa napenda kuwauliza hilo li tight la ndani kazi yake ni nini hasa? Maana kufuli umevaa, gauni/suruali umevaa sasa hilo vazi la nn tena? Au ni ushamba?
Wenzenu wa Dar wameendelea sana unakuta sista duu wa nguvu amepigilia pamba zake jeans moja matata sana akiinama kwenye dala dala unaona lile kufuli la kamba limejitokeza murua kabisa, mtu unauona uumbaji kupitia mwanamke.
Mwanamke unarundika manguo mwilini kama vile unaenda kupanda mt Kilimanjaro, halafu kila siku unalalamika UTI hazikuachi.
Sasa basi natoa rai kwa wanawake wote nchini hasa wa Mwanza ambako nimeliona hilo tatizo kuacha Mara moja
Pia ni usumbufu mkubwa wakati wa kuvua, kumbe ndio maana wengine ukienda nao Nakivubo stadium anakimbilia kuvulia bafuni.