Wanawake tunachoangalia........kwenye first date......


Copied that....
 
Inawezekana nikaja rafu ili kukutega tuu sababu kupata binti mwenye mapenzi ya kweli siku hizi ni bahati wengi wanaangalia kama una gari, hela za kula bata ukiishiwa anaenda kwa aliye nazo.
 
Heee kumbe!!! wacha nikapige HOMEWORK sasa
 
Mbona mie sina sifa na vigezo ulivovitaja laniki nawabadilisha kama boxer?
Hhahahaha mkuu umenifurahisha eti kama boxer...anyways kwa mtindo huo basi hata hao wanawake hawana vigezo wao ilimradi liende..Upo! Hii mada inapaswa kulenga pande zote mbili sio mwanaume ana vigezo aishie kutakwa na wanawake kama kinyume cha mada yenyewe..meaning badala ya mwanaume heading iwe mwanamke..teh teh teh.
 

nilikuwa na demu design ya sifa hiz , nikajipretend ili nile mzigo , baada ya kula mzigo nikampiga chini. demu alikuwa anasoma IFM ,miaka ya 2010
 
Inawezekana nikaja rafu ili kukutega tuu sababu kupata binti mwenye mapenzi ya kweli siku hizi ni bahati wengi wanaangalia kama una gari, hela za kula bata ukiishiwa anaenda kwa aliye nazo.

si ndio jamani....au turudi enzi za ujima....? semeni....tutabadilisha......
 
nilikuwa na demu design ya sifa hiz , nikajipretend ili nile mzigo , baada ya kula mzigo nikampiga chini. demu alikuwa anasoma IFM ,miaka ya 2010

wakati huo ulikuwa unajipulizia perfume gani....? (sio utaje eau de toilette)
 
Dah najua kiume pesa ndev urembo ila angaliene nyie wadada mambo yenu kuna vidume wapiga hod had mikanda na purfume.
 

Mke mwema hutoka kwa Mungu....
 

mnh!! hapo kwenye nyekundu! kuna walakini, labda tule tunatwotembezwa na wamasai ndo laki mbili haiingii, kiongozi wallet ya ukweli inameza mpaka million bwana.
 
That's the way life goes.Whether it's material thing or not,if you are janjaful you can get anything you want.It has been written that women are mens assitantants,so they are controlled by men.
 

@Preta, Kama mama Ngina angefuata hivi vigezo, hizo RED angenikamata aiseee.............
 

Nyc tips,thanx for the heads up!!
 
Assume hyo first date imepangwa usiku...matokeo yake

Sina gari ila nilitoka kazn nikarudi hme nikabrush shoez then nikapanda bajaj nikatangulia eneo la tukio stil ntakuwa smart

Nimevaa shart imefubaa but tuko kwenye mwanga wa taa inang'aa kama mpya...

Nimebeba wallet ila inakaratasi kibao afu elfu hamsin nimeitia kwenye mfuko wa sharti nazuga natoa wallet wakati wa bill then narudisha afu nasema daaah kumbe napesa nyingne mfuko wa shaarti......

Itakula kwako Preta

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…