Wanawake tuna maneno

Yan story za wanawake
Ukiskiliza unaweza kuishia
Kucheka au kuhuzunika

Mwanamke hanaga kifua
Cha kuweka,cr
 
Haha sio wanawake tu ata wanaume....mi saiz nimefanya shortlisting...nimebakiza mmoja tena ntakua namshirikisha ambayo sio yamaana
Samahani mkuu,kwa hiyo wewe marafiki zako ni jinsia ke?
Au hutaki rafiki wa jinsia yoyote!
 
WANAWAKE SKUIZ WAMEACHA WANAUME SASA YALAAAA WAMBEA DA MAOFISIN, VIJIWEN , MISIBANI, VIJIWENI bila kusahau ULEVINI
 
Yan story za wanawake
Ukiskiliza unaweza kuishia
Kucheka au kuhuzunika

Mwanamke hanaga kifua
Cha kuweka,cr

mbona hawasemi tunavyowakunja ? na wanavyotapeliwa tamuuu ----------- vifua wanavyo wewe sema wanajitoa ufaham tu
 
mbona hawasemi tunavyowakunja ? na wanavyotapeliwa tamuuu ----------- vifua wanavyo wewe sema wanajitoa ufaham tu

Kweli mkuu wanajitoaga ufsham hawa


Maana tukiwachomeleaa vzr
Wanavungia kabatin hawasemag
Kabsaaa
 

Kumjua na kumuelewa mwanamke ni kazi kubwa sana... Ila wanawake mnajuana wenyewe ndiyo maana mnachukiana, hampendani...
 
Humu natarajia kila mwanamke atamlaumu mwanamke mwenzie, yaani wao wote wema ila mashosti ndio wenye shida, hii ndio jf bwana.
Teh teh, nimecheka sana. Wao wema, wenzao ndio wabaya. Online perfectionism....
 
Kaka si ubadilishe hiyo avatar, unachanganya sana kuvaa uhusika wa mwanamke wakati wewe ni me
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…