Wanawake Tumieni Password

Dah mtoa Uzi kama ni kukuelewa wadada watakuwa wamekuelewa lkn hata wanaume tabia ya kumshawishi mtoto wa mwenzako sio vzr!
 
Duuh! Ni kweli ulichosema brother ila kwa sisi KE ni ngumu sana sana tena sana, zamani mabibi walikua wanaolewa wengine hata hawajabalehe mtu atabalehe kwa mumewe, ila sasa hivi changamoto ni nyingi sana sana.
Changamoto mojawapo ni ipi..?
 
Mmm ushauri wako ni mzuri lakini mapenzi kitu kingine bana asikwambie mtuuu yana nguvu kuliko kifooo, alishidwa kuvumilia Adam na Eva, tutakuwa mimi na wewe!! ? Ila kupanga nikuamua wapo walioweza kujitunza hadi ndoa na wengine bado wanajitunza....
Ila bhanaa mimi nishakula lile tundaa kuibania tena najitahidi ila sometimes unahisi km unaumwa degedege ukikosa hiyo kitu mazeee
Dah nmekusoma vilivyo.!
 
Hii kitu hii mbaya sana.... Tamaa mbaya lakini.

BTW wanawake kuweni makini..jitunzeni
 
Back
Top Bottom