Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 20,837
- 72,402
Hahahaha usimuache mwaya utaacha wangapi na hawa wote baba yao ni mmoja
Eti baba yao mmoja😂😂😂
Nimecheka hapa!
Hahahaha usimuache mwaya utaacha wangapi na hawa wote baba yao ni mmoja
Tatizo unajua pa kunikamata,una maneno matamu hadi nakusamehe sasa
Nimeshakusamehe my dear
Sisi ndio sisi,wengine mafisi 😁
Watu wote waseme eimeeen!babu ameshasema kimebaki utekelezaje. Akikataa kunioa utanioa mwenyewe maana wewe ndio una uchungu na mimi babu.
Hah haha haha haha lool yan nimecheka sana kwakweli aya asante tumeelewa ngoja tuwe makini.To all women, just know that all of your male friends have though of fucking you at least once Paula Paul,
Sasa mtu anakutaks wewe na wewe unaongizia mambo ya mpenxi wako .halafu wanaume wa siku hizi hata ukimwambia una mpenzi haelewina yeye anataka awe mpenzi wako.
Ubarikiwe mkuuSiku yangu ya leo,imeanza kwa kukutana na neno zuri sana
Shukran Chief
Wanawake wanahitaji kitu kinachoitwa plausible deniability ukiweza kucheza nacho utakula sanaaNipe mbinu mkuu ya kumtafuna bila kuaproch mkuu me wanawake wamenizoea mno
Amekuwa mke wako kwa sababu alibeba ujauzito bahati mbaya? Au ulikusudia tuu kumpandisha cheo?Niliwahi kumueka mdada kwenye fuckzone kipindi hicho nina broken heart baada ya kuachwa na mtu niliempenda sna
Huwezi amini hivi sasa ndo mke wangu na tuna mtoto mmoja
Ingawa nilimkuta bikra
KUMBUKA:Kama mwanamke hana hisia zozote za kimapenzi hawezi hata kujaribu kukuweka kwenye FRIENDZONE
mzee apa skupingi ata kidgoFriendzone ni ile ya urafiki wa kiume na kike wenye hisia za kimapenzi kati ya mmoja wao ...
Ila ikitokea Mwanaume akamtongoza mwanamke...lakn mwanamke huyo huyo akamweke mwanaume kweny Friendzone.... it means anakuwa na hisia nusu kwa huyo mwanaume...kama anamkubali na wakati mwingine kama anamkataa... ni Wajibu wa Mwanaume kupambana kujitoa kweny FRIENDZONE...maana hii ni kama Last Chance kwake....kupambana kurudisha Mapenzi...
KUMBUKA:Kama mwanamke hana hisia zozote za kimapenzi hawezi hata kujaribu kukuweka kwenye FRIENDZONE
What happened?Things are terrible to me
Over loneliness.. wiĺl kill meWhat happened?