Mbona umekuwa mkali madam? mimi binafsi sijaona mantiki ya hilo ni huruma gani inayohitajika hapo kutoka kwa mwanamke,huo ni udhaifu aliounyesha huyo mwanadada na ameshindwa kujikontro na kutambua kuwa alikuwa na mpenzi wake sioni cha kuhurumiwa hapokwa
hiyo unataka kusema hilo nalo limesababishwa na yeye kuwa mwanamke?
hakuna wanaume ambao wana tabia kama hiyo? jaman tuelimishane ndio
lakini weakness zingine sio za jinsia fulan tu. halafu sijapenda hapo
uliposema wanawake ni mzigo. hiyo ni kauli mbaya na usiitumie tena mkuu. hata mungu wa mbinguni inaweza kumkwaza sana watu ambao yeye amewaumba kwa maarifa makubwa wewe binadam dhaifu uje kuwaita mizigo..
Rafiki yangu yupo kwenye mzozo mkali na mpenzi wake, walitoka kutembea na wakakaa katika bar moja, wamekunywa na kula, wakati wanatoka dada yule akakutana na mwanaume mmoja wanaofahamiana, wakaanza kupiga story, jamaa amesimama kusubilia muda mrefu hadi akaamua kutangulia tu na kuwaacha wakiongea, baadae ndo akamkuta stand ya daladala wakaondoka. Rafiki yangu anasema alichukia kidogo amnase kofi mpenzi wake na kinachomuumiza zaidi ni story gani hizo ndefu walikuwa wakiongea hadi asimjali kiasi kile? amemuuliza anasema eti ni walisoma naye, nimemwambia awe mvumilivu, wanawake ni mizigo na hilo lilomfika ni dogo tu kati ya makubwa huko mbeleni.
kwa

mkuu ukali wangu uko wapi hapo?Mbona umekuwa mkali madam?
mimi binafsi sijaona mantiki ya hilo ni huruma gani inayohitajika hapo
kutoka kwa mwanamke,huo ni udhaifu aliounyesha huyo mwanadada na
ameshindwa kujikontro na kutambua kuwa alikuwa na mpenzi wake sioni cha
kuhurumiwa hapo
Kwa nini huyo mwanaume asingebaki na huyo mpenziwe hapo hapo kando?
Unachokimiliki lazima ukilinde...ingawaje to some point huyo mwanamke hakuonesha hekima, ni dalili za uswahili swahili hizo.
Rafiki yangu yupo kwenye mzozo mkali na mpenzi wake, walitoka kutembea na wakakaa katika bar moja, wamekunywa na kula, wakati wanatoka dada yule akakutana na mwanaume mmoja wanaofahamiana, wakaanza kupiga story, jamaa amesimama kusubilia muda mrefu hadi akaamua kutangulia tu na kuwaacha wakiongea, baadae ndo akamkuta stand ya daladala wakaondoka. Rafiki yangu anasema alichukia kidogo amnase kofi mpenzi wake na kinachomuumiza zaidi ni story gani hizo ndefu walikuwa wakiongea hadi asimjali kiasi kile? amemuuliza anasema eti ni walisoma naye, nimemwambia awe mvumilivu, wanawake ni mizigo na hilo lilomfika ni dogo tu kati ya makubwa huko mbeleni.
rafiki yangu yupo kwenye mzozo mkali na mpenzi wake, walitoka kutembea na wakakaa katika bar moja, wamekunywa na kula, wakati wanatoka dada yule akakutana na mwanaume mmoja wanaofahamiana, wakaanza kupiga story, jamaa amesimama kusubilia muda mrefu hadi akaamua kutangulia tu na kuwaacha wakiongea, baadae ndo akamkuta stand ya daladala wakaondoka. Rafiki yangu anasema alichukia kidogo amnase kofi mpenzi wake na kinachomuumiza zaidi ni story gani hizo ndefu walikuwa wakiongea hadi asimjali kiasi kile? Amemuuliza anasema eti ni walisoma naye, nimemwambia awe mvumilivu, wanawake ni mizigo na hilo lilomfika ni dogo tu kati ya makubwa huko mbeleni.
hoja kubwa ni kuwa wanawake wana madhaifu makubwa sana, samahani kama nimewaudhi.
shida zake ndo mzigo wala wanawake sio mizigo, ni sehemu ya kupumzikia.
Angechukua tax ni saa ngapi wangekutana na huyo bwana kuanza kuongea?