wanawake toeni sifa za wanaume wanaovaa suti

wanawake toeni sifa za wanaume wanaovaa suti

suti zimepigwa chenga na gari kama huamini simama barabaran na suti yako halafu ita huyo dada ile anakuja kaka aliyevaa tshirt yuko kwenye gari nae amwite utaona anaelekea wapi
Kesho tuonane nikiwa na suti yangu. Nione kama utachomoa
 
Masela mpo? Vaa suti yako piga pasi inyooke fresh simamisha demu yoyote uone kama ataruka haruki, cm yangu imejaa no za watoto wa ifm wengine nshawasahau sasa najiuliza kwamba suti zinawaogopesha wadada au ukivaa suti unaonekana unahela?? Wanawake embu toeni sifa za sisi wanaume tunaovaa suti

Uzi tayari
Boy pleaaaaaaaaaase 😏😏😏

Mtu anaeshobokea suti unamtilia maanani kweli??? Ndo maana kila siku hamuishi kulalamika humu.
 
Back
Top Bottom