KIUNGOMCHEZESHAJI
Senior Member
- Oct 4, 2013
- 120
- 255
Wanawake/akina dada, najua ukweli unauma lakini mkubali tuu kuwa wengi wenu hamtaolewa kwa sababu mmepoteza dira ya maisha yenu. Kufuatia malalamiko ya akina kaka wengi nimeamua kufanya simple research, nitaielezea kidogo nadhani mtanielewa.
Nilifungua fake facebook account, nikaamua kuwaadd marafiki wa kike ninaowafahamu na pia nisiowafahamu ili mradi tuu sample research yangu iwe kubwa. Katika wale ninaowafahamu kwa sababu jina sio la kweli wakaniadd wasijue kama mimi ni yule yule wanayemfahamu na wengine ni wapenzi na ambao nimeshatembea nao. Nikaanza kuchat nao na kuwapa infomation tofauti kabisa na zangu kama vile mahali nilipo, kazi yangu na status yangu. Nikasajili namba ya simu kwa wrong name.
Wastani wa akina dada 8 kati ya 10 walikataa kunipa namba nilipowaomba wakisema hawawezi kumpa namba mtu asiyemfahamu. Kadiri tulivyozidi kuchat kuhusu maisha wakasema maisha magumu, na mimi nikajifanya matawi ya juu, wakaanza kuniomba vocha. Ikawa kila mmoja wao namjibu kuwa hapa mfukoni sina hela cash ila nina hela kwenye M pesa nitakutumiaje? Fasta, wote wakanipa namba zao kwa ajili ya kutumiwa M pesa. Mwisho wa siku sikuwahi kutuma hata senti moja. Hivi nawaenjoy sana na wengine tuko nao tunafanya kazi sehemu moja. Ni wastani wa watu wawili kati ya kumi ambao walikataa kata kata na hawakutaka chochote toka kwangu.
Jambo lingine, 7 kati ya kumi walianza kuniomba hela hata kabla hatujazungumza lolote kuhusu mapenzi. Nilipowachombeza kuhusu mapenzi walikubali haraka huku wakisisitiza nitume hizo hela. Sasa jamani, hivi unaweza kumuita mtu mpenzi hamfahamiani wala hata hujaona sura yake fb, lakini unalainika ili kumlainisha naye atoe wallet yake? Mara "ooh nakupenda sana naomba nitumie nauli nije kukuona". Haya basi haitoki hata senti ila nazidi kuwajifunza hawa viumbe dhaifu.