Wanawake tambueni kwamba maswali hayaepukiki!

Wanawake tambueni kwamba maswali hayaepukiki!

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,077
Reaction score
17,267
Nimegundua kwamba wanawake wengi kuanzia mitaani hadi mwenye social media huchangia kwa kiasi kikubwa kukatisha mori ya mwanaume pindi wanapoanza kuchat,
Ingawa hawatambuani(ni strangers) lakini wanawake kwakiasi kikubwa wanakosea sana pale wanaposema kwamba hawataki kuulizwa maswali!

Tena huku wakitushinikiza kwamba eti "go straight to the point!"
How come?? Nitakwendaje straight to the point pasipo kufahamiana?
Anyway wanaume tunaweza kwenda straight to the point lakini mtatuelewa kweli?
Au huwa mnataka vitu msivyovijua?

Nitaanzaje kwenda straight to the point ikiwa hata hatujafahamiana majina yetu?

Sijui mmenielewa vizuri?
Yaani mimi kuanza na kuanza nikwambie
"mrembo nimezimika na makalio yako, natamani nikakeshe nayo usiku mzima"
Au nikwambie
"Baby ujue mpaka sasa umenimaliza mwenzio, nahitaji tukutane kesho jioni kwaajili ya kugegedana"

Au pengine mnataka tuanze kuwapigia story za mali tunazomiliki ikiwemo magari tuliyoyaagiza Japan?
It really make sense?

Yani nianze kukupigia story tu mtu ambaye sikufahamu?
Ujue hata machangudoa unapotaka kumnunua lazima umuulize anachaji bei gani kwa round moja,

Kwahiyo maswali kama "jina kamili unaitwa nani?"
"unasoma au unafanya kazi"
"unaishi wapi?"
Ndiyo yanayojenga ukaribu na kunogesha uhusiano!

Kwahiyo nyie Warembo mnaokataa kuulizwa maswali mnatakiwa kutambua kwamba maswali hayahepukiki hasahasa mwanzo wa mazungumzo/chattings.....
-Alamsiki-
 
Ngoja nisepe [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] fasta nisije kuharibu madini ya ONTARIO niliyoyameza tangu juzi hadi leo.

Mademu piteni hivi[emoji117] [emoji117]
(In Ontario's voice)
 
Hawana formula hao viumbe,ila hakuna kitu wanapenda kama kutongozwa. WAnajifanya hawataki lkn deep inside wanafurahia pale wanapochombezwa.

Philips X2560
 
maswali yakizidi huwa nalala mbele, utamu tunapata wote situmii nguvu maana najua na yeye ana genye vile vile
 
waznguaj balaa hawa viumbe

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Ila hili swala ni kweli. Wanawake mnatakiwa kuwa wapole msikilize nini kinaendelea. Unajikuta mgumuu hata haipendezi. Nadhani hii ni kwa baadhi ya waAfrica tu.
 
Unamuuliza mwanamke km anasoma au anafanya kazi..unataka kumpa ada au kumtafutia kazi nyingine?tuna fail sehemu ndogo ndogo sn tu..hayo maswali sio yakuuliza kbs yatajijibu automatic ukiwa muongeaji...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sipendagi maswali mie ili iweje kwa mfano
 
Kwani ni lazima kila unayechat nae awe anakuhitaji kimapenzi?
Inategemea na mazungumzo yako. Maana wengine unajua kabisa anataka kukwambia nn

I'm the queen of my own empire. [emoji182]
 
Tunatofautiana wanaume.
Mimi maswali huja baada ya game,
Maana najua maswali mengi kwa baadhi ya wadada huwapa mashaka mno. Na wengine huhofia kutoa majibu sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inapendeza mfahamiane sio kuulizana maswali ya kizushi. Kama vipi mna exchange business card tu
 
Nimegundua kwamba wanawake wengi kuanzia mitaani hadi mwenye social media huchangia kwa kiasi kikubwa kukatisha mori ya mwanaume pindi wanapoanza kuchat,
Ingawa hawatambuani(ni strangers) lakini wanawake kwakiasi kikubwa wanakosea sana pale wanaposema kwamba hawataki kuulizwa maswali!

Tena huku wakitushinikiza kwamba eti "go straight to the point!"
How come?? Nitakwendaje straight to the point pasipo kufahamiana?
Anyway wanaume tunaweza kwenda straight to the point lakini mtatuelewa kweli?
Au huwa mnataka vitu msivyovijua?

Nitaanzaje kwenda straight to the point ikiwa hata hatujafahamiana majina yetu?

Sijui mmenielewa vizuri?
Yaani mimi kuanza na kuanza nikwambie
"mrembo nimezimika na makalio yako, natamani nikakeshe nayo usiku mzima"
Au nikwambie
"Baby ujue mpaka sasa umenimaliza mwenzio, nahitaji tukutane kesho jioni kwaajili ya kugegedana"

Au pengine mnataka tuanze kuwapigia story za mali tunazomiliki ikiwemo magari tuliyoyaagiza Japan?
It really make sense?

Yani nianze kukupigia story tu mtu ambaye sikufahamu?
Ujue hata machangudoa unapotaka kumnunua lazima umuulize anachaji bei gani kwa round moja,

Kwahiyo maswali kama "jina kamili unaitwa nani?"
"unasoma au unafanya kazi"
"unaishi wapi?"
Ndiyo yanayojenga ukaribu na kunogesha uhusiano!

Kwahiyo nyie Warembo mnaokataa kuulizwa maswali mnatakiwa kutambua kwamba maswali hayahepukiki hasahasa mwanzo wa mazungumzo/chattings.....
-Alamsiki-
Kwa wale wataalamu wa mambo ya Bank tunaiita KYC Module,''KNOW YOUR CUSTOMER''..Ni kitu kisichoepukika....Then hawa wajinga walivyo wajinga watakwambia go straight to the point then siku ukienda kwenye kugegedana ukifika ukamvua chupi na kuanza kumkita mishindo, utasikia ooh me siwezi kufanywa km kuku bila maandalizi....***** hamjui hata kwenye kutongozwa hayo maswali ni miongoni mwa maandalizi?
 
Back
Top Bottom