Ukitaka tuwe hivyo basi na nyie anzeni kufanya kazi za nyumbani na kulea watoto kwa ukamilifu yaani kupika kufua kuosha vyombo kufanya usafi na kulea watoto maana hata wanaume wa kizungu hayo wanayafanya tena wanaona ni kawaida sana na kwa wazungu siyo ajabu mwanaume kuamka asubuhi kumuandalia mkewe chai huku mkewe amelala ila sema tu ukweli hilo africa linawezekana?Ila hata maandiko ya biblia imeandikwa mwanamke ni msaidz kwa mwanume,..alafu utamaduni wetu unafanya nyinyi hali iwe hvyo,kumbuka hata hayo mabara mengn yako hvyo,lakn ni sheria tu ndo inatumika na ndo iliweka usawa huo,ila sio kwamba na wao wanataka hapana
Wanawake wetu pia uwa wanajshusha thamani wenyew kitu ambacho kinamfanya mwanaume aendelee kujioana mbabe,hivi nithakueshimu vipi na kila ktu unanitegemea nikupe mimi mpaka hela ya vocha....ila wewe huwez kuninunulia vocha hapana.
Ukitaka tueshimiana tuwaige wenzetu amabo hata hela ya nyanya wanachanjia hela kununua.ila hali ni tofaut kabisa na sheria zetu.ila wenzetu ziko hvyo na ndomana wanaeshimiana kwamaana kwamba kila mtu anamchngo kwny familia na matumiz hayaegamii upand mmoja kama tulivyo waafrica.
Naamn ukiwa mwanamke ambae hufkrii psaa ya mwanaume au vocha toka kwa mwanaume,naamn kila mwanaume atakueshimu....
Upendo unabeba mambo mengi ikiwa ni pamoja na heshima n.kKumbe wanaume wengi mnashindwa kuelewa hapa hivi nyie mnaelewa tofauti kati ya mwanaume na mwanamke iko wapi? Tofauti ipo kwenye jinsia, maumbile, tabia na majukumu ila siyo mapenzi kwenye mapenzi ni lazima kila mmoja ahakikishe anamfanya mwenzie awe na furaha
Sasa mnadhani msipotupenda, msipotuheshimu, msipotusamehe, na msipotuvumilia, ndo mtatufanya tuwe na furaha? Halafu nakazia hapo uliposema kuwa mwanamke ampende mkewe na mwanamke amtii mumewe kwahiyo unataka kusema kwamba kama nyie hamtakiwi kututii basi na sisi hatutakiwi kuwapenda si ndiyo?
Hapo sasa ndio tatizoNakuelewa Edelyn .
Bahati mbaya tunabadilishana mawazo kwa kutumia mifano/sampuli zisizofanana.Kwa namna uliyodadafua nakuunga mkono.Hapo unaposema mke akikataa bila ya kuwa na sababu ya msingi inabidi kukaa chini kuongea, ifanyike kwa mda gani?Mimi nimewahi kuwa mshauri kwenye case kama hii ambapo mke hata hana kazi sana ila anasema hajisikii.Mumewe hakuwa akichepuka(namuamini) ila hii issue iliwafanya wawe watu wa kugombana mara nyingi.
Kuna watu hawana kazi ngumu na bado ni wazito kutoa ushirikiano wa tendo.Yaani mtu anapractice sexless mariage kwenye ndoa ya kawaida.
Ndo hicho nimemwambia.Dogo alikuwa "LAFA" huyo. Mi ukitaka simu nakupa ushinde nayo na matukio unapigwa vile vile.
Mbona sisi hatuna shida ninyi kuwa viongozi wetu tunajua kuwa hiyo ndiyo nafasi mliyopewa na Mungu lakini sasa mbona majukumu mliyopewa na Mungu hamyatekelezi ipasavyo?Upendo unabeba mambo mengi ikiwa ni pamoja na heshima n.k
Utii ni kiashiria kwamba mwanaume ni kiongozi;unaweza kumshauri ila ushauri wako anaweza asiuchukue vilevile na atakuelewesha kwanini huo sio ushauri mzuri.
Mwanamke akitaka kuwa kiongozi wa mahusiano, hayatadumu hata kama yeye anaona yanaenda kama anavyotaka ajue tuu anatungiwa sheria.
Hahaha hilo pepo lishindwe kwa kweliUsicheke hio ni based on a true story, huo ni mfano tu. Sasa leo ngoja nikanyage tiles na tope nione itakuwaje[emoji16][emoji16][emoji16]
Hata mume huwezi kumxis mke mbele za watu kama amekosea unamtetea mkirudi ndani unamwelekeza...hii ni kwa sababu ya heshima na upendo ulio nao kwake...ukiona mke anakudharau mbele za watu basi kimbia maana kama mbele za watuanakudharau ndani ya nyumba hawezi kukuheshimuUnadhani hilo ni kwa sababu gani???
Hivi unafikiri mfumo wa kugawa majukumu kuna atakae kataa,mfano mimi ninunue mboga wewe unanunua unga,.hata kama n kuvua madaso ya mtoto nitafua tuUkitaka tuwe hivyo basi na nyie anzeni kufanya kazi za nyumbani na kulea watoto kwa ukamilifu yaani kupika kufua kuosha vyombo kufanya usafi na kulea watoto maana hata wanaume wa kizungu hayo wanayafanya tena wanaona ni kawaida sana na kwa wazungu siyo ajabu mwanaume kuamka asubuhi kumuandalia mkewe chai huku mkewe amelala ila sema tu ukweli hilo africa linawezekana?
Kwahiyo usitulaumu sisi kuwategemea nyie kiuchumi ni kutokana na mgawanyo wa majukumu kwa sababu ukiangalia wanaume majukumu yetu mnaweza kuyafanya vizuri kabisa majukumu ambayo hamuwezi ni kubeba mimba kuzaa watoto na kunyonyesha watoto na hiyo ni kutokana na maumbile lakini majukumu mengine yote mnayaweza ila kwanini hamfanyi mnategemea sisi ndo tuwafanyie? Nijibu hili
Unafaa kuwafunda wenzio - Ahsante sanaMmekaa sitting room mnaangalia taarifa ya habari, simu ya mr inaita, anaamka anachukua simu, ameamua kuongelea chumbani. Baada ya maongezi anarudi anakukuta mwanamke umeumuka kama umetiwa hamira, aliyepiga simu ni nani?
Kama ungetakiwa kumjua au kujua wanayoongea asingeenda chumbani, yeye ni mtu mzima anahitaji privacy yake. Kama anataka kukopa hela je?
Mimi ninaamini kama katika wote amenichagua mimi, hata akitoka wala sina wasiwasi ninajua atarudi. Simu ikipigwa ninampelekea kama yuko mbali, hata kama caller’s name ni Joyce siulizi kwani mwenye pete ya ndoa ni mimi.
Uache kulala usingizi wako mzuri unamsubiri mtu ambae yuko kwenye bata lake huko au ndiyo anashughulikia ada za watoto. Mradi tu awe na adabu ya kunijulisha kuwa atachelewa.
Kwanza zamani wazungu wenye uwezo wake zao walikuwa mama wa nyumbaniHivi unafikiri mfumo wa kugawa majukumu kuna atakae kataa,mfano mimi ninunue mboga wewe unanunua unga,.hata kama n kuvua madaso ya mtoto nitafua tu
Hata wenzetu sio kwqmba huwa wanapnda sema tu n sheria inawalazmsha ila na wnyw majumu ya ndan yanabase sana kwa mwanamke..
Saiv wamebadlka kwasabab y sheria na sio utamaduniKwanza zamani wazungu wenye uwezo wake zao walikuwa mama wa nyumbani
Hakuna sheria duniani inayomlazimisha mwanaume kufanya kazi za nyumbani ila wazungu ni vile wamestaarabika wameona siyo vizuri wake zao wanasaidia majukumu ya mume halafu waume wasisaidie wa majukumu ya mkeHivi unafikiri mfumo wa kugawa majukumu kuna atakae kataa,mfano mimi ninunue mboga wewe unanunua unga,.hata kama n kuvua madaso ya mtoto nitafua tu
Hata wenzetu sio kwqmba huwa wanapnda sema tu n sheria inawalazmsha ila na wnyw majumu ya ndan yanabase sana kwa mwanamke..
NotedHata mume huwezi kumxis mke mbele za watu kama amekosea unamtetea mkirudi ndani unamwelekeza...hii ni kwa sababu ya heshima na upendo ulio nao kwake...ukiona mke anakudharau mbele za watu basi kimbia maana kama mbele za watuanakudharau ndani ya nyumba hawezi kukuheshimu
Wanawake wote wangekuwa na akili na mawazo kama yako hakuna ndoa ingevunjika chini jua.Mmekaa sitting room mnaangalia taarifa ya habari, simu ya mr inaita, anaamka anachukua simu, ameamua kuongelea chumbani. Baada ya maongezi anarudi anakukuta mwanamke umeumuka kama umetiwa hamira, aliyepiga simu ni nani?
Kama ungetakiwa kumjua au kujua wanayoongea asingeenda chumbani, yeye ni mtu mzima anahitaji privacy yake. Kama anataka kukopa hela je?
Mimi ninaamini kama katika wote amenichagua mimi, hata akitoka wala sina wasiwasi ninajua atarudi. Simu ikipigwa ninampelekea kama yuko mbali, hata kama caller’s name ni Joyce siulizi kwani mwenye pete ya ndoa ni mimi.
Uache kulala usingizi wako mzuri unamsubiri mtu ambae yuko kwenye bata lake huko au ndiyo anashughulikia ada za watoto. Mradi tu awe na adabu ya kunijulisha kuwa atachelewa.
NASISITIZA NI SHERIA NA SIO TAMADUNI,sema wenzetu ni wazuri kuzingatia na kutii sheria na walilizingatia hilo imekuwa kama tamaduni.marekani hapo dhamani mume alikuwa afanyi majukumu ya ndani au kupka kwa ajili yaa mke na pia mume ndo alkuwa mkuu toafuti na saiv wote haki sawa,..kwaiyo maswala ya kupka au kufua hayakumuhusu mwanaume.Hakuna sheria duniani inayomlazimisha mwanaume kufanya kazi za nyumbani ila wazungu ni vile wamestaarabika wameona siyo vizuri wake zao wanasaidia majukumu ya mume halafu waume wasisaidie wa majukumu ya mke
Narudia tena Ulaya siyo ajabu kukuta mume anapika chakula jikoni huku mke amekaa anaangalia runinga sebuleni ila Africa hilo linawezekana kweli?
Kama haliwezekani basi ndo acheni tuendelee kutegemea pesa zenu tu maana hata nyie mnategemea kula vyakula tulivyopika sisi jamani hivi hata hilo nalo bado ni taabu?
Ndo maana nasema wanaume wa Africa mnapenda mteremko sasa mnataka mfanye majukumu gani wenzetu kama majukumu yenu yote tunawasaidia ila nyie ya kwetu hamtusaidii?
Lakini pia si ndo walikuwa wanatafuta pesa peke yao na kuhudumia mke na watoto peke yao bila kusaidiwa na mke sijui unaelewa hiyo hoja hapo?NASISITIZA NI SHERIA NA SIO TAMADUNI,sema wenzetu ni wazuri kuzingatia na kutii sheria na walilizingatia hilo imekuwa kama tamaduni.marekani hapo dhamani mume alikuwa afanyi majukumu ya ndani au kupka kwa ajili yaa mke na pia mume ndo alkuwa mkuu toafuti na saiv wote haki sawa,..kwaiyo maswala ya kupka au kufua hayakumuhusu mwanaume.
Na sheria imesema kwamba majukumu ya ndani ni ya wote wawili..yaan hapo ikimaansha kupga,kulea watoto,kwenda kushop,hata kufua kwaiyo sheria hzo zmewajengea utamaduni,ndomana hata mke akiwa amelala atapga haoni shda maana amezoea sheria hyo.inakuja hata kwny kzaz kngn,mtoto akiona namfanyia mama yke vile na yy atakopy na kupelka kwingn.nna uhakika ushawai kusikia kesi za watu weupe kepeleka mahakamani kisa mume amfanyii kitu fulani.mfano kulea mtoto,unafkr hyo ni tamaduni au sheria.utagundua hyo ni sheria na sio utamadun. thaman haikuwa hvyo,mwanaume alkuwa juu kama tulvyo waafrica.
Kama mnaona hayo siyo majukumu yenu basi ndo mtafute pesa sasa mhudumie wake zenu na watoto wenu siyo mnalalamika kuwa mnataka wake zenu wawasaidie eti hamtaki wanawake magolikipa wakati wanawake asili yao ni ugolikipausipate shida,tafuta mume bwege awe anakupikia,
Habari ndio hiyoNdiyo pesa kwa sababu kwa sasa "hakuna mwanaume mwaminifu duniani" ukinipotezea muda wangu mimi nakupotezea pesa zako
Hapana mkuu hapo hata mimi nimgemkataza kunipikia hapa naongelea kwa wanawake ambao wanatafuta pesa kila siku na wananunua mahitaji ya nyumbani na kuhudumia watoto ndo angalau na waume zao nao wawe wanawasaidia kazi za ndani siku moja moja kama hawana mfanyakaziYap!! tulikuwa hatujaelewana,nilifikiri unasema mwanamke golikipa then tena hapohapo mumewe ampikie