Wanawake stress nyingine tunazitafuta

basi tuishi nanyi kama michepuko tuone kama ndoa itakuwa tamu. Hapa ndipo napopata maana kwa nini vitabu vya dini vilisisitiza mume kuwa polygamous.
Hivi like seriously unaweza ukafananisha maisha ya kuishi kindoa na maisha ya kuchepuka ambayo mnakutana tu kupeana raha? Anzisha familia na huko kwa mchepuko afu uje utuambie kama utakuwa tofauti na mnavyoishi na mkeo. Heshimuni ndoa tafadhali
 
Huwezi kuishi maisha ya kifamilia kama ya kimchepuko. Kwa mchepuko unahitaji ngono tu; while maisha ya ndoa ni zaidi ya ngono; responsibilities za kutosha. Kumbuka maisha mliyoishi na mkeo as a girl friend; kulikuwa na majukumu kama mliyonayo sasa hivi? Usifananishe kukutana na mtu ukiwa na hamu naye, na kulalla na kuamka na mtu daily.
Mke mmoja tu anawashinda; hao wake wengi wa kupiga nao picha au?
basi tuishi nanyi kama michepuko tuone kama ndoa itakuwa tamu. Hapa ndipo napopata maana kwa nini vitabu vya dini vilisisitiza mume kuwa polygamous.
 
mkiwa na wake wenza mnajituma zaidi na inaleta balance kwenye huduma. Sasa kwa kuwa hilo officially mnalipinga tutatumia mkato
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseee
 
Hahahah, Dunia hadaa ndugu zangu, Moyo wa hivo sinaaa kabisaaa, mimi tabia yangu ni uwazi sanaaa hasa kwa mtu naempendaaa na yanatukosti sanaa,

Yaani mimi niwe wazi hadi mawasiliano yangu kwako, yako ukaongelee chumbani??

My future wife, plss usifanye huo ujinga mbele yangu, wawili hawatakua wawili tena, bali ni mwili mmoja.
 
Hayo maneno kama kweli vile unavyoongea,,,usitafute balaa Dada hujasiri huo huna [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kwa kutanguliza maslahi bila hekima apo lazma mchanganye mafaili.
Hapana bwana hapo najua maslahi uliyomaanisha ni pesa ila kwangu mimi mapenzi siyo pesa mapenzi ni uaminifu tu sasa nikishapata mwanaume ambaye siyo muaminifu na mimi lazima nitarget pesa zake huku nikiwa standby kwa lolote ili hata nikiachwa nijue kuna kitu niliambulia kuliko kujifanya mtakatifu kupenda ambaye hana pesa kumbe yeye kwako ndo yupo kimaslahi zaidi
 
Hii ni kwa niaba ya wanaume kama nyie sasa mnaojiona mna akili kuzidi wanawake linapokuja kwenye swala la mapenzi
 
Sasa kuvua viatu juu ya zulia jamani kwani ni ajabu, huyo atakua na pepo sio buree[emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…