Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,418
Akili zao haziko sawa hao, hebu nielewe kidogo.Khaa hivi wanaume mko serious au mnatuzuga tu hapa? Yaani unataka kuniambia kwamba hamjui kuwa kuna wanaume wenzenu wanachepuka hadi wanazaa watoto nje ya ndoa au mnajitoa ufahamu tu?
Wanajitoa ufahamu mi nawaangalia tu [emoji3][emoji3] hebu soma hapa. Huu uzi ulinifanya nisilale usingizi kama siku tatuKhaa hivi wanaume mko serious au mnatuzuga tu hapa? Yaani unataka kuniambia kwamba hamjui kuwa kuna wanaume wenzenu wanachepuka hadi wanazaa watoto nje ya ndoa au mnajitoa ufahamu tu?
Mungu wangu!!! Hivi umeiona hiyo comment yangu kumbe???Aiseee
Yaani natamani huyo mchepuko asome hii comment yako "Nkalikatia simu na nkalibrock mbali huko" aisee.Hatari sana mkuu! Leo naelekea sehemu flani simu inaita namwambia call me after like 30 minutes ananiambia kwani nataka nifanye nini?? Nkalikatia simu na nkaliblockia mbali huko.
Mimi nina mishe zangu wewe unataka unizonge hapa saa hizi
Ana uhakika hawezi kuonaYaani natamani huyo mchepuko asome hii comment yako "Nkalikatia simu na nkalibrock mbali huko" aisee.
Sijaona kwani umeandikaje [emoji3][emoji3]Mungu wangu!!! Hivi umeiona hiyo comment yangu kumbe???
Wanawake tuna huruma Sana aiseeAna uhakika hawezi kuona
Nimesoma kwa makini engineer mimi. Eeh tunasemaga wachepuke kwa heshima sijui ooh usiposhika simu unapunguza stress. Sipati picha stress/presha za kuja kujua mume ameshazaa watoto wawili nje; afu si alichepuka kwa heshima lakini au?Mwe mwe mweeeeeeh!!
Heaven Sent umesoma hii?
Mie nitafuatilia tu, acha nikutane tu na ninachokitafuta.
Mmekaa sitting room mnaangalia taarifa ya habari, simu ya mr inaita, anaamka anachukua simu, ameamua kuongelea chumbani. Baada ya maongezi anarudi anakukuta mwanamke umeumuka kama umetiwa hamira, aliyepiga simu ni nani?
Kama ungetakiwa kumjua au kujua wanayoongea asingeenda chumbani, yeye ni mtu mzima anahitaji privacy yake. Kama anataka kukopa hela je?
Mimi ninaamini kama katika wote amenichagua mimi, hata akitoka wala sina wasiwasi ninajua atarudi. Simu ikipigwa ninampelekea kama yuko mbali, hata kama callerβs name ni Joyce siulizi kwani mwenye pete ya ndoa ni mimi.
Uache kulala usingizi wako mzuri unamsubiri mtu ambae yuko kwenye bata lake huko au ndiyo anashughulikia ada za watoto. Mradi tu awe na adabu ya kunijulisha kuwa atachelewa.
Natembeza mkong'oto tuu.[emoji23][emoji23]Hahahaha huwa unafanya nini sasa baada ya kunusa harufu ambayo hujaizoea?
Mmmhhhh kwani unadhani hata ni mchepuko basi?? Ni mtu mtu haeleweki eleweki ndio kwanza anataka anajichepusheYaani natamani huyo mchepuko asome hii comment yako "Nkalikatia simu na nkalibrock mbali huko" aisee.
Rafiki hebu kwenye huu uzi ondoka.Ana uhakika hawezi kuona
AiseeMmmhhhh kwani unadhani hata ni mchepuko basi?? Ni mtu mtu haeleweki eleweki ndio kwanza anataka anajichepushe
πππππππππSijaona kwani umeandikaje [emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3] unanifukuza? Siondoki hataRafiki hebu kwenye huu uzi ondoka.
ili toleo lako ndo linamalizikia kama kweli yametoka moyoniMmekaa sitting room mnaangalia taarifa ya habari, simu ya mr inaita, anaamka anachukua simu, ameamua kuongelea chumbani. Baada ya maongezi anarudi anakukuta mwanamke umeumuka kama umetiwa hamira, aliyepiga simu ni nani?
Kama ungetakiwa kumjua au kujua wanayoongea asingeenda chumbani, yeye ni mtu mzima anahitaji privacy yake. Kama anataka kukopa hela je?
Mimi ninaamini kama katika wote amenichagua mimi, hata akitoka wala sina wasiwasi ninajua atarudi. Simu ikipigwa ninampelekea kama yuko mbali, hata kama callerβs name ni Joyce siulizi kwani mwenye pete ya ndoa ni mimi.
Uache kulala usingizi wako mzuri unamsubiri mtu ambae yuko kwenye bata lake huko au ndiyo anashughulikia ada za watoto. Mradi tu awe na adabu ya kunijulisha kuwa atachelewa.
Nini eti???Aisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee kwa hali hii acheni tu wanawake waendelee kuwabambikia watoto tatizo wanaume wanajionaga wajanja sana ila hawajui kwamba hayo mambo wanayoyafanya wao kwa kuyaweka wazi ili kutukomoa wenzao tuna uwezo wa kuyafanya kwa siriWanajitoa ufahamu mi nawaangalia tu [emoji3][emoji3] hebu soma hapa. Huu uzi ulinifanya nisilale usingizi kama siku tatu
Kuzaa nje ya ndoa ni kawaida, Acheni kuendekeza mamivu
...Habari! Dada zangu mwanaume kuzaa nje ya ndoa ni jambo la kawaida sana ktk dunia hii. Hii ipo tangu zama za mawe za kale. Sasa kuna wamama wanafura mpk eti wanasusa ndoa! Khaa, ukiondoka dume kamili linakureplace faster. Ushauri wa bure: Ukiona mmeo kapata bastard mkae chini, myajenge kwa...www.jamiiforums.com
Need i say more!!Nimesoma kwa makini engineer mimi. Eeh tunasemaga wachepuke kwa heshima sijui ooh usiposhika simu unapunguza stress. Sipati picha stress/presha za kuja kujua mume ameshazaa watoto wawili nje; afu si alichepuka kwa heshima lakini au?
Hilo suala la kupikika ukaiva sijui, kukomaa (utadhani nazi; me nimeamua kuwa dafu basi); me nimeligomea. Only a foolish man atafurahi anapofanya ujinga afu mke anapiga kimya. Mwanamke mwema akikuignore ni kwamba ameshakuchoka; jiandae kisaikolojia. Btw nimesoma stress management; nipo vizuri mnyaki teh