Wanawake stress nyingine tunazitafuta

haya mambo ni mepesi sana ukiwa na moyo kwa kujituliza nafsi yako na ukiwa na uhakika kuwa u chaguo lake
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mimi kama naibu katibu wa chama cha michepuko Tanzania nitamkanya kwa kivunja katiba ya chama
 
Sasa kama kashapigwa chini tufanyeje, ni kumuombea pepo tu maana ni mwanamke wa shoka!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mimi kama naibu katibu wa chama cha michepuko Tanzania nitamkanya kwa kivunja katiba ya chama
Ah mimi ndo maana siwalaumu wale wanawake wa tit for tat japo mimi siwezi kuna wanawake wengine mume akimwaga ugali yeye anamwaga mboga mume akinywa beer yeye anakunywa wine na wapo ambao hizo mbinu zinafanikiwa mume ndo anaishia kuumia
 
Hahahaha ila mnafatilia sana.

Sitakutupa nitakupokea. Ila punguza kidogo hahaha
Daah, Mimi nafuatilia nanusa hadi nguo[emoji23][emoji23][emoji23]nikikutana na harufu ambayo siielewi ndiyo basi tena. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ah mimi ndo maana siwalaumu wale wanawake wa tit for tat japo mimi siwezi kuna wanawake wengine mume akimwaga ugali yeye anamwaga mboga mume akinywa beer yeye anakunywa wine na wapo ambao hizo mbinu zinafanikiwa mume ndo anaishia kuumia
We kwa lawama hizi unaachaje kuwa tit for tat! sema approach tu zinatofautiana ila kununa nuna haikwepeki kama paka wa kirusi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…