Wanawake stress nyingine tunazitafuta

Dah pole sana mkuu, hilo ni pigo takatifu. Kama bomu basi Hiroshima

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We jamaa bhana bomu la Hiroshima ni zaidi Aisee
 
pepo ameumbiwa mwanamke kama wewe mkuu,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapana kwa kweli hata Mungu alisema usimuache mwenzio akateketea kwa kutenda dhambi unatakiwa umkanye kile kitendo cha kumkanya tu umeshapata thawabu usimlazimishe aache wewe mkanye tu halafu yeye ndo ataamua afuate ushauri wako au auache

Sasa nashangaa wanawake wanaodhani kukalia kimya maovu ya waume zao eti ndivyo Mungu anavyotaka kwani waume zao siyo watu? My friend I will speak even if I see a text saying 'hi' as long as it is from a woman I will talk oooo chaeee[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Niko poa my sister. Ubize umezidi aisee.

Lakini nipo huwa nachungulia mara moja moja
Asante my brother mzima wewe?
Umekuwa hadimu sana huku, huo ubize siyo wa nchi hii kaka yangu.
 
Huyo mjuba kweli alikuwa serial kabisa, yani kama silaha ni lethal weapon. Sema tuongee yote ila mapenzi ya kibongo bila u FBI ni kitendawili.
Dont ever love blindly in.Tz

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mchuga chuga wewe upo kimtaa mtaa sana safi sana aisee unakuwaga FBI sometimes
 
Ase ni kwere chalyangu, mjuba kazngua kimaku
 
Mwe mwe mweeeeeeh!!
Heaven Sent umesoma hii?

Mie nitafuatilia tu, acha nikutane tu na ninachokitafuta.
 
Unaongea kama kuna aliyekupigia simu na kutukana au amekukosea heshima lakini kuchunguza simu hakusaidii, mwenye tabia yake anayo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…