Kucheat ni bahati mbaya? Kuchat na wanawake tofauti na mkeo kimahaba ni bahati mbaya? Hivi vitu vina process ndo maana tunawashangaa mnavyosemaga ni bahati mbayaHamna anayefanya kosa makusudi
Subiri tuzeeke tutakuelewa.
Ndiyo hizo ndiyo ndoa mnazozitaka ila mnashindwa tu kusema mnataka kuoa wanawake ambao hata wakiona mnaingiza vimada ndani ya nyumba yenu wasiulize chochotehakunaga kitu ka hio
Na Mimi jee?Dada nakusalimia
Hiyo dunia unayoiota haipo na haitakuja kuwepo amka tu kwenye hiyo ndoto ndugu yangu yaani huoni hata aibu eti nyie ni wadhaifu ingekuwa hivyo basi Mungu angeshawaruhusu mtende dhambi lakini ndo katukataza wote kutenda dhambiHujui kwamba sisi ni wadhaifu. Na pia tunataman??? Mnatakiwa mvumilie na muache kufatilia fatilia mtakufa siku kabla ya zenu
Acha zakooo wwπππ fujo tuSio peke yako mpenzi hahahaha la kuipokea simu mbali na mimi hizo ni dharauuuu kama mimi mwandani wake ananificha nini
Nakusalimia pia my sisterNa Mimi jee?
Basi ndo mkubali sasa kwamba mnafeli na siyo kuendelea kujitutumua na kujiona kuwa mko sahihi eboohaiko hivyo...mtu mstaarabu atawajibika kwa makosa yake ila bahati mbaya wanaume wengi wanafeli ha
Dah pole sana mkuu, hilo ni pigo takatifu. Kama bomu basi HiroshimaWhat about serial cheaters? Unaitaka ndoa, unampenda sana na ushamwambia hupendi baadhi ya vitu ila wala hana mpango wa kubadilika? Nasema hivyo because nilikaa kwenye ndoa 8 years sijawahi hata siku moja kufungua simu ya mume wangu, wala hajawahi hata kunipa simu nipige picha hata za matukio ya kawaida... but here I am, no husband ππ. Of course his LOSS! but my point ishuwa najiambia kama ningekuwa namkagua ama namfanyia vurugu kidogo labda angeogopa, or maybe ningejua mapema wapinzani wangu! Nimekuja kushtuka wameshazaa watoto wawili uhawara uliokubuhu ndio wanakumbuka kuoana.π
Aisee nimeitafuta hiyo sehemu palipoandikwa watakuwa mwili mmoja kitandani tu nimeikosa hebu nisaidie basi imeandikwa wapi yaani kitabu gani sura ya ngapi na mstari wa ngapi?mwili mmoja kitandani tu[emoji16]
Salama, habari ya weye?Dada nakusalimia
Salama, habari ya weye?
Huyo mjuba kweli alikuwa serial kabisa, yani kama silaha ni lethal weapon. Sema tuongee yote ila mapenzi ya kibongo bila u FBI ni kitendawili.What about serial cheaters? Unaitaka ndoa, unampenda sana na ushamwambia hupendi baadhi ya vitu ila wala hana mpango wa kubadilika? Nasema hivyo because nilikaa kwenye ndoa 8 years sijawahi hata siku moja kufungua simu ya mume wangu, wala hajawahi hata kunipa simu nipige picha hata za matukio ya kawaida... but here I am, no husband ππ. Of course his LOSS! but my point ishuwa najiambia kama ningekuwa namkagua ama namfanyia vurugu kidogo labda angeogopa, or maybe ningejua mapema wapinzani wangu! Nimekuja kushtuka wameshazaa watoto wawili uhawara uliokubuhu ndio wanakumbuka kuoana.π
pepo ameumbiwa mwanamke kama wewe mkuu,Kweli kabisa Dada Sky, ila je unamaanisha kuwa tunyamaze tu just because mimi ni mke wa ndoa? Hata kama unajua kabisa huyu ni mchepuko wake? Na je madhara ya kunyamazia na kujifanya kobe, ni yepi?
Salama kabisa, nimefurahi kukuona maana unafichwa sana siku hizi.Niko poa. Za siku nyingi
Napambana na maisha dada yangu. Huwa naingia kusoma siku moja moja humuSalama kabisa, nimefurahi kukuona maana unafichwa sana siku hizi.
Unaona "hakuna jipya tena".Mimi nadhani sky ameshazeeka
Ndio maana Hata caller ya Joyce hamaindi
Hivi angekuwa na mwaka katika ndoa na kitumbo kimejaa simu ikaita caller ni Joyce naamini angelia Hadi kujifungua
Ukifikia level ya uzee wivu unapungua