Hatari sana mpaka unaamua kukatiza mechi na huangalii tena!Afu unakuta kwenye kibanda umiza wanaume kama wote, mwanamke mmoja tu, kwenye saa tano hivi. Hadi uelewi huyu nae vipi. Kumbe
Ni wivu tu
Ni wivu tu
Na nyie mkome kushika simu zetu na kusoma mambo ya kike yasiyo wahusu.Zipu zinafungwa vzr tuu mambo ya kufatiliana ni yakizamani
Kweli wewe ni mbabe wa vitaHahahahahhahahaha....... Ilitokea usiku fulani kufika asubuhi nilihamishia vitu kwenye gari nikaforce nirudishwe kwangu na uhusiano ukafa hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimejaribu Ku edit mkuu, mambo ni mengi naandika kama nakimbizwa🙏🙏🙏Hebu andika upya hata sijakuelewa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli wewe ni mbabe wa vita
Nimejaribu Ku edit mkuu, mambo ni mengi naandika kama nakimbizwa🙏🙏🙏Hebu andika upya hata sijakuelewa.
Mimi nafuatilia hadi msg za Tigo.
Hahahahahhahahaha abiria chunga mzigo wako babu..... Mnataka kutuletea umeme nyumbanAfu unakuta kwenye kibanda umiza wanaume kama wote, mwanamke mmoja tu, kwenye saa tano hivi. Hadi uelewi huyu nae vipi. Kumbe
Ni wivu tu
Ni wivu tu
HahahahaahahhaahhaKwani unadhani wanachepukaga kwa kupenda?? Men tumeumbiwa mateso
Hapo ndo wanapokosea, maisha hayapimwi kabisa, maisha unaishi. Usichopenda kufanyiwa nawe usimfanyie mwenzako.Nashukuru wewe umenielewa wengine wanang'ang'ania kuwa naleta ushindani na wanaume yaani hivyo ni vitu viwili tofauti wao wanadhani kuwa mwanaume ni kuwa kinyume na mke wako kwenye kila kitu na kumkosea mke makusudi ili umpime uwezo wake wa kusamehe na kuvumilia
🤣Wanawake sura ya dr. Lemi Ongara ndiyo wenye ghubu hatari..!
Watani wangu wangesema "Ngashtuka" 😅Naona mmeamua kutudanganya ili tujiachia mtudake kirahisi..Tuko makini[emoji38]
Hakika yaani kumbe wanaume kama wewe bado mpo dunia hii? Nilishaanza kukata tamaa kutokana na comments za baadhi ya wanaume humu Extrovert Meraki Nyalotsi Relief Mirzska njooni msikie nilichokuwa namaanisha siyo nyie mlichokuwa mnang'ang'ania oohh kushindana kushindanaHapo ndo wanapokosea, maisha hayapimwi kabisa, maisha unaishi. Usichopenda kufanyiwa nawe usimfanyie mwenzako.
Nilikua nasoma kama guest ila hapa nimelazimika ku log in.....Mmekaa sitting room mnaangalia taarifa ya habari, simu ya mr inaita, anaamka anachukua simu, ameamua kuongelea chumbani. Baada ya maongezi anarudi anakukuta mwanamke umeumuka kama umetiwa hamira, aliyepiga simu ni nani?
Kama ungetakiwa kumjua au kujua wanayoongea asingeenda chumbani, yeye ni mtu mzima anahitaji privacy yake. Kama anataka kukopa hela je?
Mimi ninaamini kama katika wote amenichagua mimi, hata akitoka wala sina wasiwasi ninajua atarudi. Simu ikipigwa ninampelekea kama yuko mbali, hata kama caller’s name ni Joyce siulizi kwani mwenye pete ya ndoa ni mimi.
Uache kulala usingizi wako mzuri unamsubiri mtu ambae yuko kwenye bata lake huko au ndiyo anashughulikia ada za watoto. Mradi tu awe na adabu ya kunijulisha kuwa atachelewa.
Ndiyo hivyo mpendwa. Nalinda hatari.Eeeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani unadhani mimi sikuelewi?? Nakuelewa vizuri tu ila kuna namna flani nashindwa kuanza kuzozana naweHakika yaani kumbe wanaume kama wewe bado mpo dunia hii? Nilishaanza kukata tamaa kutokana na comments za baadhi ya wanaume humu Extrovert Meraki Nyalotsi Relief Mirzska njooni msikie nilichokuwa namaanisha siyo nyie mlichokuwa mnang'ang'ania oohh kushindana kushindana