Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,418
πππππππWhat about serial cheaters? Unaitaka ndoa, unampenda sana na ushamwambia hupendi baadhi ya vitu ila wala hana mpango wa kubadilika? Nasema hivyo because nilikaa kwenye ndoa 8 years sijawahi hata siku moja kufungua simu ya mume wangu, wala hajawahi hata kunipa simu nipige picha hata za matukio ya kawaida... but here I am, no husband ππ. Of course his LOSS! but my point ishuwa najiambia kama ningekuwa namkagua ama namfanyia vurugu kidogo labda angeogopa, or maybe ningejua mapema wapinzani wangu! Nimekuja kushtuka wameshazaa watoto wawili uhawara uliokubuhu ndio wanakumbuka kuoana.π
Hahahahaahhahahahaahahhahahahahahahahahahahahahahahhaahhaha hebu nijitahidi niwe kama hivi uwenda nikadumu kwenye mahusisno lol...
Nilivyo na gubu hivyo simu ipigwe ukaongee chumbani asalaleeeeeeeeee vita ya hapo si ya mchezo
Oooh. Japo nionavyo yategemea Ntu na Ntu kwani hawa hawa ambao wanafurahia kwamba wanahitaji Privacy hawana mioyo ya kukubali tuzungumzie hayo mazindiko chumbani.Yah dada yangu akinipigia na tukiwa tunaongelea mazindiko ya kijijni kwetu ninakwenda chumbani
Uvumilivu huo wengine hatuna maana akirudi huko mafichoni kesi yake haina muamuzi.
Yeah π. Shit happens,right?πππππππ
Akitaka kujua nitamuonyesha mpaka last callOooh. Japo nionavyo yategemea Ntu na Ntu kwani hawa hawa ambao wanafurahia kwamba wanahitaji Privacy hawana mioyo ya kukubali tuzungumzie hayo mazindiko chumbani.
Kwani nao mwisho wa siku wanafura ka sie tu na walio wengi hawataki hata unyanyuke. Unazungumza akiwa hapo hapo na anataka ukitoka hapo umwambie ulikuwa wazungumza na nani na alikuwa anataka nini.
Mimi nadhani sky ameshazeekaWanawake wenye ufahamu na uchambuzi wa hali ya juu kama sky wameenda wapi.
Shit happens I agree but not like the way it happened to you! 8 years??Yeah π. Shit happens,right?
Hahahaaa. Sawa Dada ila hawa wetu 90% wakinyanyuka huwa hakuna cha mikopo wala nini wengi wanaenda kuzungumza mambo ambayo anahisi nikiyazungumza mbele ha mke yatazua tafran.Akitaka kujua nitamuonyesha mpaka last call
Fanya hivyo aisee we mdigoHahahaaa. Sawa Dada ila hawa wetu 90% wakinyanyuka huwa hakuna cha mikopo wala nini wengi wanaenda kuzungumza mambo ambayo anahisi nikiyazungumza mbele ha mke yatazua tafran.
Ila nitajitahidi na mie kumuacha Baba Chanja apate hiyo Privacy.
ππππππFungeni zipuuuu
hahahahahSi afadhali huyo anaenuna,mwingine anakufuata huko huko ulikoenda kuongelea halafu anajifanya yuko busy na kufutafuta meza,ukimaliza unaulizwa nani huyo...?
Yani sio tu hadi kumfuata; hata nisipomkata tu jicho anaweza akahisi kabadalishiwa mkeWewe hata ukimfuata mpaka chooni bado ni wife matiriyo tu. Hahahaahhaha
Hujambo rafiki???
Shit happens I agree but not like the way it happened to you! 8 years??
Naona mmefurahia sana leo huu uzi. ππππNa hapa ndio inaonyesha Me wengi mna Mengi. TehFanya hivyo aisee we mdigo
Kwa sasa bado tuna nguvu za kudeal na stress.Hahahaha kwa kweli.
Zipu zinafungwa vzr tuu mambo ya kufatiliana ni yakizamaniWanaume wasiojua kufunga zipu wameufurahia huu uzi mpaka sio vizuri
πππππββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈYani sio tu kumfuata; hata nisipomkata tu jicho anaweza akahisi kabadalishiwa mke