Kwa nini nawe usiolewe! Kama umeolewa unachepuka kutafuta nini, au hiyo pesa.kwanini huoi?
nilichepuka na nani?Kwa nini nawe usiolewe! Kama umeolewa unachepuka kutafuta nini, au hiyo pesa.
Hilo ndo swali la mleta mada! Umeolewa/umeoa au hukuolewa/hujaoa, kubadili penzi (mahaba) kuwa ATM ni kuidhihaki nafsi ya ubinadamu na kujishusha utunilichepuka na nani?
Wanajamii
Naombeni kuuliza, hivi mnapokuwa katika mapenzi kati ya mwanamke na mwanaume lengo linakuwa ni nini hasa? Na kama lengo ni kushare katika mapenzi (kugegedana) na kila mmoja huwa anafaidi mautamukutokana na tendo hilo (kutoana stress)
Sasa linakuja swali moja hapa kwa nini wanawake wanageuza mapenzi kuwa pesa, utakuta anamuomba mpenzi wako pesa kana kwamba kutokana na lile tendo unadai malipo, basi ieleweke tu kwamba mnapokuwa katika uhusiano, mwanamke umweleze mpenzi wako kwamba sawa tunakuwa katika mahusiano ila papuchi nitakuwa nakuuzia, kwa sababu imegeuka kuwa kero, musitufanye ATM, munakera! kwana raha ya tendo tunaona sisi wenyewe?
Wambie ukweli mkuu, kuna wengine wameingia humu jukwaani, ni wakali balaa wanaona ni haki yao kudai pesa kwa penzi ambalo wote tunafaidi!Hilo ndo swali la mleta mada! Umeolewa/umeoa au hukuolewa/hujaoa, kubadili penzi (mahaba) kuwa ATM ni kuidhihaki nafsi ya ubinadamu na kujishusha utu
IKITAKA UEPUKANE NA KERO ZA MAPENZI OA KAKA,,,,POLE MI HATA ALIYEKUWA BABE WANGU ALIKUWA ANANIPA TAKRIMA NA MIM NIKIENDA KWAKE NAMPELEKEA ZAWADI KAMA SHATI AU TISHETI N.K..
Hayo ndio mapenzi ya kweli mkuu, sio mapenzi kama ya akina fulani ambao wameingia humu jukwaani ni wakali balaaIKITAKA UEPUKANE NA KERO ZA MAPENZI OA KAKA,,,,POLE MI HATA ALIYEKUWA BABE WANGU ALIKUWA ANANIPA TAKRIMA NA MIM NIKIENDA KWAKE NAMPELEKEA ZAWADI KAMA SHATI AU TISHETI N.K..
Kumbe shida neno kugongwa...kwa sababu na nyie mnasemaga mmetugonga na si tumegongana

Ha ha ha ha ha!Wanawake mmzidi kila SAA tafadhali niongeee,naomba elfu 20 baby,chupi ximeisha baby,mwanamke gani huwez kujinunulia hata chupi kwenda zako na njaa zako,demu mwenye vinjanja pita mbali na mm.unataka hela nenda nmb,crdb,nk.mnaboa sana mamaee xenu.
nipe mimiMpaka unipende manake nina matunzo asa kwa nini nikupe halafu usinitunze?![]()
Unatunza?nipe mimi
kama natumia kwann nisitunze?Unatunza?
Ni moja kati ya shida nyingiKumbe shida neno kugongwa...![]()
![]()
Unanipa au tunapeana, we ndo wa kwanza kuja humu jukwaani ukidai kutofikishwa kiboMpaka unipende manake nina matunzo asa kwa nini nikupe halafu usinitunze?![]()
Kumbe ni business, bac waseme tu kwamba hiki kiungo kinauzwa, ikiwezekana na matangazo kabisaPapuchi ni resource kama resource nyingine tu.
Ukiitumia lazima ulipie, na mwenye nayo lazima afaidike pindi inapotumiwa.
Hili ndo jibu sahihi la mleta mada. Siku mkiacha kusema mnatugonga kilio chenu kitaisha.kwa sababu na nyie mnasemaga mmetugonga na si tumegongana
Sio biashara mkuu, ni service charge tu hio.Kumbe ni business, bac waseme tu kwamba hiki kiungo kinauzwa, ikiwezekana na matangazo kabisa