wax
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 5,940
- 5,746
Sasa kwan utajua? Saa hiyo nishakugonga mapema na sepaHao hao ila sio mimi
Sasa kwan utajua? Saa hiyo nishakugonga mapema na sepaHao hao ila sio mimi
Labda uwe jiniSasa kwan utajua? Saa hiyo nishakugonga mapema na sepa
Hapana ni ushawishi tuu na kumbembeleza we eeeh mpaka unipe tuu najua huwez kukaza hadi mwishoLabda uwe jini
Miaka 5 ya nin yote hii jaman kujuana gani hukuNdoa ni hatua mkuu, inabidi mujuane kwanza na ikiwezekana katika mahusiano mkae hata miaka 5 ili muweze kujuana vizuri,
Mkuu, wanawake wengine ni viwavijeshi, yabidi kuwasoma ipasavyo, miaka 5 utakuwa umemsoma na umefanya maamuzi sahihiMiaka 5 ya nin yote hii jaman kujuana gani huku
Ndoa ni hatua mkuu, inabidi mujuane kwanza na ikiwezekana katika mahusiano mkae hata miaka 5 ili muweze kujuana vizuri,
kwani course ya doctor hiyo?Mkuu, sio kukwepa majukumu, ila baadhi ya wanawake mumezidi kha!Huko nikukwepa majukumu
Toa pesa wacha ubahili
We toa tu namungu atqkuzidishiaMkuu, sio kukwepa majukumu, ila baadhi ya wanawake mumezidi kha!
Ya kwani wewe unasuggest muda gani?![]()
kwani course ya doctor hiyo?
ndio kabalehe.....Ulivoandika ni kama hili jambo la wanawake kuwafanya wanaume ATM limeanza mwaka huu![]()
Na hasa wanawake wenye matege ndo wamezidiWe toa tu namungu atqkuzidishia
Hata mwezi mmojaYa kwani wewe unasuggest muda gani?
Na hasa wanawake wenye matege ndo wamezidi
kwahiyo unataka kuse maje mkuuHapo utakuwa umeoa kimeoHata mwezi mmoja
Inategemea na mnavyopenda na kuendana kitabia
Ha ha ha ha![]()
![]()
kwahiyo unataka kuse maje mkuu
Usikariri weweHapo utakuwa umeoa kimeo