Wanawake Sometimes

Wanawake Sometimes

NAWEKA CAPS KWA MSISITIZO,KAMA HUWEZI KUTOA HELA KAA PEMBENI AU KAFANYE NA WASIOTAKA PESA MAANA HATUWASHIKII PANGA ILI MTOE...MXIEEEWWW PUMBAVU KABISA MNALIA LIA KAMA VILE UKIKOSA **** UNAKOSA KWENDA MBINGUNI ALAAA MXIEEEWWWW.
 
hivi kuna mwanamke wa bure bure tu huyo labda umuumbe mwenywe
 
Ulivoandika ni kama hili jambo la wanawake kuwafanya wanaume ATM limeanza mwaka huu
Najua limeanza muda mrefu, lakini ni tofauti na enzi ya mababu zetu walikuwa na mapenzi ya kweli,
 
NAWEKA CAPS KWA MSISITIZO,KAMA HUWEZI KUTOA HELA KAA PEMBENI AU KAFANYE NA WASIOTAKA PESA MAANA HATUWASHIKII PANGA ILI MTOE...MXIEEEWWW PUMBAVU KABISA MNALIA LIA KAMA VILE UKIKOSA **** UNAKOSA KWENDA MBINGUNI ALAAA MXIEEEWWWW.
analilia dhambi
 
Ha ha ha, usiwe mkali nimekugusa?
 
mmezidi kulalamika utafikiri huwa tunawashikia panga, halafu nyie ndo mnaongoza kwa nyeg* na tamaa,lazima mlipie alaaa..huwezi kaa benchi
Ha ha ha, ndio maana nimesema muwe mnasema kwamba, sawa nimekubali mahusiana, ila suala la papuchi utakuwa unatoa fedha
 
Endelea kutafuna hiyo ya kukodi wakati unatafuta bint mstaarabu wa kuoa ambae anakupa kwa upendo na si kwa cash.
 
hivi kuna mwanamke wa bure bure tu huyo labda umuumbe mwenywe
Kuna wengine wapo wasioendekeza fedha, wenye mapenzi ya kweli na sio kama akina nyie. Na musiporidhishwa, mnakuwa wa kwanza kuja kulalamika hapa jukwaani. Pesa mupewe na kufikishwa kileleleni mwahitaji. Ndio maana wanaume wanapiga na kusepa na kuwaacheni mnagalagala kunako 6 x 6 kwa sababu ya kuendekeza fedha
 
haha tuache siasa buana ina stress twende kwenye uchawi sasa😉
kwel aise mpendwa,,,, uchaw,ulozi ma-illuminati, secret cults,,, kwel kabisa angalau unakua interested kidogo kupata habari unasisimka kusikia jambo usilolijua ...sasa kila siku mapenzi,mara usaliti , mara sjui kugegeda,mara fumanizi, mara michepuko, yan mambo ya ajab ajab tu inaboa kwakwel
 
Kweli mkuu na wataishia kuchafuliwa tu!
Unajua wanawake wengi hawaolewi tokana na vijitabia uchwara wanavyokua navyo.

Yani sijui hawafundishwi makwao au wanaiga kwny tamthilia ujingaujinga bila kujua wenzao wanaigiza.
 
Endelea kutafuna hiyo ya kukodi wakati unatafuta bint mstaarabu wa kuoa ambae anakupa kwa upendo na si kwa cash.
Kwani hao wanaowapaga kwa upendo mnawaoaga ??? Mwisho wa siku unamwachia shombo tutu.
 
ukiona unaombwa pesa na mwanamke ovyo ovyo ujue tu anakupenda kawaida na yupo na control kubwa kwenye mahusiano,wajanja tunatom .. kila siku tena wanawake wazuri na hela tunatoa tukiamua..sio kwa masharti mnatukuza sn wanawake madogo wanawake wenywe mnaohonga vimeo wengi wao, wanawake wa maana hamuwapi hela...ni ngumuuu
 
NAWEKA CAPS KWA MSISITIZO,KAMA HUWEZI KUTOA HELA KAA PEMBENI AU KAFANYE NA WASIOTAKA PESA MAANA HATUWASHIKII PANGA ILI MTOE...MXIEEEWWW PUMBAVU KABISA MNALIA LIA KAMA VILE UKIKOSA **** UNAKOSA KWENDA MBINGUNI ALAAA MXIEEEWWWW.
Acha ujinga ww tutawagonga na pesa hatuwapi mamaee
 
Back
Top Bottom