Jamaa yangu alipata mpenzi tokea first yr mpaka wanahitimu walikuwa wanaish wote jamaa alikuwa amepanga,demu kwao kdogo hazkuwepo so loans hyohyo ndo alpe ada na matumiz,jamaa kwao alikuwa analipiwa ada na mkwanja kdogo alipewa plus loans so akawa anampga tafu demu wake,mpaka wamehtimu wamendelea ishi wote tena hawana kaz jamaa akawa anafunsha tuition ndo wanapata hela ya kula,demu akawa yupo tu,wakat mwngn walilala bla kujua kesho watakula nn?mara demu kapata ajira kwan alsomea ualimu,akapangiwa dsm bas demu wake akahama kwa jamaa akapanga rum yake,jamaa akaendelea na maisha yake akawa anamtembelea demu wake,wakashauriana wachange wachukue chumba na sebule waish wote wakafanya hvyo,wakaanza ishi wote,huku jamaa anapga tempo ya kufundsha mara demu kabadlika kaanza mtukana jamaa mara demu aknunua kama ni mchele hatak jamaa auguse,matus kama ms.ng.e,mpumbavu,unafilwa,mjinga yametawala jamaa hajui afanye nn? Ushauri plz.
kama ni hvyo kila mtu atakudungua aisee halafu galz hamkawii kuchujaFadhila mfadhili mbuziiii Utamnywa mchuziiiii! Binadamu wana mauziiii!!!!!!!!! How Could She be so Heartless!!!!!!!!??????????
Mi bwana ndo maana Mwanaume asie na kitu simtakagi kabisaaaaaaa!!!!!!! Mambo ya kumfuga mtu wee akipata anakuona si hadhi ya tena!
I ALWAYS WANT MY MAN IN A COMPLETE PACKAGE!!!!!! (Brains! Looks! Character and Money) Mambo ya kuanza wote from scratch yalikuwa zamani zam za kibanga kumpiga mkoloni!!!!!!!
Duh, kumbe ana ujauzito mkuu?! basi, labda ana hasira za mimba!! si unajua wanawake wakiwa pregnant wanasumbua?!
kwanza jamaa wako ni nanga sana....wewe kwani ni jukumu lako kumlea demu? unamuhudumia mke sio demu.
pili wakati anahudumia kwa nini akumla tigo?
tatu akubali amebugi....sasa akubali demu ndio kambwaga
kwani aliyeokoka hana hisiaUmesema kaokoka??? hebu ongea kwa sauti kidogo maana hapa kuna makelele.
Eenh kama kaokoka mbona wanawekana kinyumba tena???
jamani mzabzab kwahiyo hilo la pili lingempa faida gani
kwani aliyeokoka hana hisia
Linamjengea ujasili mama