Mkuu ,kwanza nimpe pole jamaa yako kwa kupata kimeo ,huyo demu anaweza kumsababishia matatizo mengi si mwanamke wa kuoa kama angekuwa wa kuoa angeonekana mapema kuna wanawake katika jamii ni wazuri lakini sio wife material wapo wapo tu mitaani wanatumiwa na kuacha inawezekana akawa ni miongoni mwao, hapo jamaa apendwi ila kinachopendwa ni ela na maduu wa namna hiyo huwa hawadumu kwenye mahusiano , inaonesha dhahili kwamba atakama jamaa atapata pesa leo kesho akikosa huyo duu atamdharau tu,mshauri jamaa amuepuke sana na aachane nae atafute mwanamke mwingine amwache huyo mwanamke dunga embe asiye na shukrani.