wanawake siyo.

wanawake siyo.

Hivyo ndivyo wanawake walivyo ni viumbe wadhaifu kama Lara1, wanapenda raha tu, shida hawataki, ukifulia hakutaki kaka!!
 
Kama keshamgundua angeachana naye kwani kwa Bint kama huyo anataka kitu kinaitwa New taste yaani nilazima atajamtoka tu kwani kwa sasa wapo level moja na dada hapo sio mwisho atatafuta mwenye mkoko aje amuonyeshee maana Walimu kwa kusifiana na kupondana hatakubali kuishi na huyo jamaa asiye na michuzi wenzake watamuunganishia kwani keshaonekana Kipepe
Samahani unajua tena sisi wa 47 yalishatukuta ndio maana tunatumia lugha za kina Pimbi na Kipepe
 
wanawake mwalimu wao "kipofu", umeshasikia huu usemi?! basi, ufikirie sana!! hata bible inasema kaeni nao kwa akili!!
 
huyu jamaa anataka ushauri gani tena wakati amefikia kuambiwa ms*nge mara unaf-l-wa yaani kudadadeki huyo hamtaki na pengine anaona km anamletea kauzibe tu kuwa pale achape lapa akaangalie ustarabu mbele ya safari ebo!
 
Remember women are devils even if is your --------------?
 
Fadhila mfadhili mbuziiii Utamnywa mchuziiiii! Binadamu wana mauziiii!!!!!!!!! How Could She be so Heartless!!!!!!!!??????????

Mi bwana ndo maana Mwanaume asie na kitu simtakagi kabisaaaaaaa!!!!!!! Mambo ya kumfuga mtu wee akipata anakuona si hadhi ya tena!

I ALWAYS WANT MY MAN IN A COMPLETE PACKAGE!!!!!! (Brains! Looks! Character and Money) Mambo ya kuanza wote from scratch yalikuwa zamani zam za kibanga kumpiga mkoloni!!!!!!!

mie ningekufaa lara1, sema umechelewa nilifungaga pingu za maisha ya ndoa kitambo. Bila shaka niliyenaye pia alikuwa akiwaza kama wewe...! lol
 
Mjomba angu yupo TANAPA, aliwahi kumchumbia mwanamke na kumsomesha chuo, aliporudi alikuwa na zawadi ya UJAUZITO!!
 
Hivyo ndivyo wanawake walivyo ni viumbe wadhaifu kama Lara1, wanapenda raha tu, shida hawataki, ukifulia hakutaki kaka!!

kweli wa kwetu,jamaa anampenda sana huyu demu wake,bt wanawake ndo hvyo amesahau walivyoishi wote wakiwa hawana kitu jamaa akawa anahangaika ili wapate mkate wa kila sku bt kuptia haya nmejfunza k2 stamwamini mwanamke tena.
 
Kama keshamgundua angeachana naye kwani kwa Bint kama huyo anataka kitu kinaitwa New taste yaani nilazima atajamtoka tu kwani kwa sasa wapo level moja na dada hapo sio mwisho atatafuta mwenye mkoko aje amuonyeshee maana Walimu kwa kusifiana na kupondana hatakubali kuishi na huyo jamaa asiye na michuzi wenzake watamuunganishia kwani keshaonekana Kipepe
Samahani unajua tena sisi wa 47 yalishatukuta ndio maana tunatumia lugha za kina Pimbi na Kipepe

tamfikishi hii yako ushauri wa kwetu.
 
wanawake mwalimu wao "kipofu", umeshasikia huu usemi?! basi, ufikirie sana!! hata bible inasema kaeni nao kwa akili!!

kweli mkuu ndio walmsaliti Samson, Adam nk.
 
huyu jamaa anataka ushauri gani tena wakati amefikia kuambiwa ms*nge mara unaf-l-wa yaani kudadadeki huyo hamtaki na pengine anaona km anamletea kauzibe tu kuwa pale achape lapa akaangalie ustarabu mbele ya safari ebo!

tamfkishia wa kwetu.
 
hawa viumbe japo ni mama zetu, but sometimes huwa wanatia hasira sana!! unaweza ukawachukia wote! japo hutajitendea haki
 
Mjomba angu yupo TANAPA, aliwahi kumchumbia mwanamke na kumsomesha chuo, aliporudi alikuwa na zawadi ya UJAUZITO!!

huyu nae anaujauzito wa miezi mi 3 na kadi imeandikwa jina la jamaa.
 
Mwisho, nahitimisha kwa kumwambia achape lapa, "bora kuvunja uchumba, kuliko kuvunja ndoa"!! "kuanza upya sio ujinga"!!
 
Hee mchele tu ndo matusi yote hayo

eeh wa kwetu, jamaa anasema bora basi angekuwa anafugwa sema huo mchele aliununua demu wake,sasa huyo demu wake alikuwa amekwenda clinic aliporud kakuta jamaa kapika anakula eeh ndo kamwambia staki uguse mchele wng mmh jamaa kazan anaota kuulza why ndo kejeli na matusi vikaanza.
 
Duh, kumbe ana ujauzito mkuu?! basi, labda ana hasira za mimba!! si unajua wanawake wakiwa pregnant wanasumbua?!
 
huyu nae anaujauzito wa miezi mi 3 na kadi imeandikwa jina la jamaa.

mhhh kumbe wamefika hadi huku kwenye ujauzito hapo tena inatakiwa kazi ya ziada maana katika wokovu wake amerudi kwenye zero ukishakionja kipawa cha wokovu halafu ukakichezea kurejea tena ipo kazi kwakweli maana Mungu wetu ni Mungu mwenye wivu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom